Nguvu kubwa sana zinatumika daah lets watch haka ka movie katamu
Hayo maneno yake Dayamondi ni machafu sana.. haswa alivyomalizia.
Uswahili anaenda nao na anapata wew uzungu wako unaishiya choonihuyu dogo tabia za kiswahili zitamfelisha afanye mambo yake hayo awaachie washabiki wake
Hamna akili pale he is nothing usimpaishe msieeeewThamani ya kitu utakijua pale unapokikosa
Thamani ya Boss Ruge Mutahaba sasa inaanza kuonekana
Tangu niwafahamu Clouds kwenye Tamasha la Fiesta 1999, Safari Hii ndio Fiesta iliyo kosa msisimko Kwa ukosefu wa ubunifu wa kuja Na kitu kipya
Ugua pole Akili kubwaaz Ruge
Mwaka jana kulikuwa na ubunifu gani ambao mwaka huu hamna??Thamani ya kitu utakijua pale unapokikosa
Thamani ya Boss Ruge Mutahaba sasa inaanza kuonekana
Tangu niwafahamu Clouds kwenye Tamasha la Fiesta 1999, Safari Hii ndio Fiesta iliyo kosa msisimko Kwa ukosefu wa ubunifu wa kuja Na kitu kipya
Ugua pole Akili kubwaaz Ruge
Yani huyu dogo alitabiriwa toka 2011 atashuka kila siku anapanda tu ww siyo wakwanzaMbio za sakafuni huishia ukingoni, mwakani tutakuwa hapa tukijiuliza mbwembwe ziko wapi. Kuna mmoja uwa anamkimbiza mwizi kimya kimya kelele anapiga mwizi mwenyewe
Hayo maneno machafu yako wapi?Hayo maneno yake Dayamondi ni machafu sana.. haswa alivyomalizia.
Kibamia iko zake kahama anapiga ngoma 3 tuu aje na aje remix na seduce me [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..
UmenenaThamani ya kitu utakijua pale unapokikosa
Thamani ya Boss Ruge Mutahaba sasa inaanza kuonekana
Tangu niwafahamu Clouds kwenye Tamasha la Fiesta 1999, Safari Hii ndio Fiesta iliyo kosa msisimko Kwa ukosefu wa ubunifu wa kuja Na kitu kipya
Ugua pole Akili kubwaaz Ruge
Hamna akili pale he is nothing usimpaishe msieeeew
Ungekaa nao sasa mbona umeuleta jamvini?Kila Mtu Ana mtazamo wake, huo Ni wangu
Diamond hamzidi makomeo kwa maneno ya shomboHayo maneno yake Dayamondi ni machafu sana.. haswa alivyomalizia.
Hahahahahahahahahahahahahahahaha huu utabiri umeshatolewa na watu wengi sana lakini mpaka Leo ni NOTHINGMbio za sakafuni huishia ukingoni, mwakani tutakuwa hapa tukijiuliza mbwembwe ziko wapi. Kuna mmoja uwa anamkimbiza mwizi kimya kimya kelele anapiga mwizi mwenyewe
Sijauleta ili tubishane Ila sizuii Wewe Kuwa Na Mawazo tofautiUngekaa nao sasa mbona umeuleta jamvini?
Kama anamlea dogo anaemkuna mama yake lazima utambua Domo amekulia uswaziDaaaa..., ukiwa na Boss kama Diamond, IPO siku mkitofautiana utaacha kazi kutokana na Kichambo cha Masimango!!!
Kama mlezi wao ni huyo nawapa pole sana.. Halafu wajitahidi wasisahau, nyoka hana rafikiMsanii Diamond Platinumz amewapiga dongo Clauds media kwa kile alichokiita " Taratiibu Wameanza kushika adabu yao".
"Mambo Yamekuwa Magumu hadi imebidi waombe poo na kuomba msaada kwa mlezi wetu(Paul Makonda)..
Najiuliza tu....Leo kawa sio Mvamizi tena???"
"Adabu imewakaa sasa, wanaanza kuwaheshimu na kuwakumbatia wasanii...
Hata wale walosema hawauzi sasa wanawaona wanathamani...
Eti hadi kucheza nao kikapu Manina!...
Na hii ndio Maana halisi ya Mapinduzi ya Burudani!! yani Tuheshimiane"
"Haya sasa wasanii kazi ni kwenu kuhakikisha una msimamo na hata unapotakiwa unataja dau litalowezesha kusaidia familia yako kesho na kesho kutwa...
sio tena kujipeleka halafu kesho kuleta malalamiko eti ooh umenyonywa! utakuwa ni ujinga wako..
sie tushaanza kumaliza kazi!! "
Source:
Efm?Mbio za sakafuni huishia ukingoni, mwakani tutakuwa hapa tukijiuliza mbwembwe ziko wapi. Kuna mmoja uwa anamkimbiza mwizi kimya kimya kelele anapiga mwizi mwenyewe
Hujaelewa nilichokiandika mimi simwongelei diamond naongelea haya mashindano ya redio na matamasha sasa nitamwongelaje diamond maana yeye kama msanii hakuna wa kushindana naye kwa sasa mimi naongela tamasha na ushidani wa hizi mediaYani huyu dogo alitabiriwa toka 2011 atashuka kila siku anapanda tu ww siyo wakwanza