Diamond: Clouds wameanza kushika adabu sasa.

Diamond: Clouds wameanza kushika adabu sasa.

Thamani ya kitu utakijua pale unapokikosa

Thamani ya Boss Ruge Mutahaba sasa inaanza kuonekana

Tangu niwafahamu Clouds kwenye Tamasha la Fiesta 1999, Safari Hii ndio Fiesta iliyo kosa msisimko Kwa ukosefu wa ubunifu wa kuja Na kitu kipya

Ugua pole Akili kubwaaz Ruge
Hamna akili pale he is nothing usimpaishe msieeeew
 
Thamani ya kitu utakijua pale unapokikosa

Thamani ya Boss Ruge Mutahaba sasa inaanza kuonekana

Tangu niwafahamu Clouds kwenye Tamasha la Fiesta 1999, Safari Hii ndio Fiesta iliyo kosa msisimko Kwa ukosefu wa ubunifu wa kuja Na kitu kipya

Ugua pole Akili kubwaaz Ruge
Mwaka jana kulikuwa na ubunifu gani ambao mwaka huu hamna??
 
Zaidi ya wanamuziki 30 wanatarajiwa kushiriki katika tamasha la fiesta linalotarajiwa kufanyika Novemba 24 mwaka huu kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kamati ya Maandalizi, Gardner G Habash, alipokuwa akizungumzia tamasha hilo.

Habash amesema mpaka kufika leo wasanii 30 tayari wamesajiliwa na wengine bado wataendelea kuwasajili hadi siku ya Jumamosi asubuhi.Akielezea mafanikio ya tamasha hilo tangu lianze amesema anashukuru limekuwa la mafanikio ikiwemo kupokelewa vizuri katika kila mahali walipopita.

Pia, wasanii amesema wamekuwa wabunifu tofauti na huko nyuma na pia wamekuwa wakiishi kwa kushirikiana na kupendana.Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Tigo wadhamini wakuu wa tamasha hilo, William Kapinga amesema kiingilio katika tamasha hilo ni Sh15,000 kwa watakaolipia getini na Sh10,000 kwa watakaolipa kwa tigopesa.

Wakati wale watakaotumia usafiri wa Uber kwenda katika tamasha hilo na wakati huohuo wakiwa wamelipa kwa tigopesa watapata punguzo la Sh5000.Akizungumza kwa niaba ya wasanii, Joh Makini, amesema wakazi wa Dar es Salaam wategemee mambo makubwa katika shoo hiyo kwani kila walipopita wameacha alama hivyo hata katika Jiji hilo watarajie mambo mazuri pia.
Kibamia iko zake kahama anapiga ngoma 3 tuu aje na aje remix na seduce me [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..
 
Thamani ya kitu utakijua pale unapokikosa

Thamani ya Boss Ruge Mutahaba sasa inaanza kuonekana

Tangu niwafahamu Clouds kwenye Tamasha la Fiesta 1999, Safari Hii ndio Fiesta iliyo kosa msisimko Kwa ukosefu wa ubunifu wa kuja Na kitu kipya

Ugua pole Akili kubwaaz Ruge
Umenena
 
Daaaa..., ukiwa na Boss kama Diamond, IPO siku mkitofautiana utaacha kazi kutokana na Kichambo cha Masimango!!!
Kama anamlea dogo anaemkuna mama yake lazima utambua Domo amekulia uswazi
 
Msanii Diamond Platinumz amewapiga dongo Clauds media kwa kile alichokiita " Taratiibu Wameanza kushika adabu yao".


"Mambo Yamekuwa Magumu hadi imebidi waombe poo na kuomba msaada kwa mlezi wetu(Paul Makonda)..
Najiuliza tu....Leo kawa sio Mvamizi tena???"

"Adabu imewakaa sasa, wanaanza kuwaheshimu na kuwakumbatia wasanii...
Hata wale walosema hawauzi sasa wanawaona wanathamani...
Eti hadi kucheza nao kikapu Manina!...
Na hii ndio Maana halisi ya Mapinduzi ya Burudani!! yani Tuheshimiane"

"Haya sasa wasanii kazi ni kwenu kuhakikisha una msimamo na hata unapotakiwa unataja dau litalowezesha kusaidia familia yako kesho na kesho kutwa...
sio tena kujipeleka halafu kesho kuleta malalamiko eti ooh umenyonywa! utakuwa ni ujinga wako..
sie tushaanza kumaliza kazi!! "

Source:
Kama mlezi wao ni huyo nawapa pole sana.. Halafu wajitahidi wasisahau, nyoka hana rafiki
 
Yani huyu dogo alitabiriwa toka 2011 atashuka kila siku anapanda tu ww siyo wakwanza
Hujaelewa nilichokiandika mimi simwongelei diamond naongelea haya mashindano ya redio na matamasha sasa nitamwongelaje diamond maana yeye kama msanii hakuna wa kushindana naye kwa sasa mimi naongela tamasha na ushidani wa hizi media
 
Back
Top Bottom