Diamond:Diva kila siku ananisumbua anataka kazi Wasafi TV mimi sitaki

Diamond:Diva kila siku ananisumbua anataka kazi Wasafi TV mimi sitaki

Diamond angetulia tu mana apo anatoa siri za Kampuni sioni impact nzuri kwa hio statement yake.
moja ya vitu vya kijinga alivyo Wai kuropoka Dai ni kumuongelea uyo bitch Sasa uko Instagram demu muda wote anatuma makombola dai asivyo na akil timamu atamjibu kama alivyo jirekodi anaimba wimbo wa alikiba wakat ashaambiwa UNIKOME lakn bado anajipendekeza Kuna muda jamaa anaboa kinouma
 
Kiutaratibu Diamond hajui maana ya kazi,haiwezekani kwa mtu mkubwa kama yeye aje atoe siri kama hiyo tena kuhusu kampuni yake,ategemee mengi yatavuja kutoka wasafi,ategemee hilo kuanzia sasa,maana kaanza kuharibu mwenyewe siri za ndani za kampuni yake.
Huna lolote
 
Ila huyu dada anamuandama sana dai acha tu apewe vyake..hii sio mara ya kwanza
 
Ila ampotezee tu maana anqyefaidika ni huyo dada
 
Sasa mtu wa std 7,aliyekulia tandale ambae amepata vijisent mambo ya Skills,Leadership,professionalism kwny Co. atayajulia wapi?huku washauri wake ni dizaini ya wakiwa ni Babu Tale,Said Fella etc

Elimu sometimes haina subsitute kwny baadhi ya mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu inakusaidia nini kama Mond darasa la saba lakini kakuzidi kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom