Diamond:Diva kila siku ananisumbua anataka kazi Wasafi TV mimi sitaki

Diamond angetulia tu mana apo anatoa siri za Kampuni sioni impact nzuri kwa hio statement yake.
moja ya vitu vya kijinga alivyo Wai kuropoka Dai ni kumuongelea uyo bitch Sasa uko Instagram demu muda wote anatuma makombola dai asivyo na akil timamu atamjibu kama alivyo jirekodi anaimba wimbo wa alikiba wakat ashaambiwa UNIKOME lakn bado anajipendekeza Kuna muda jamaa anaboa kinouma
 
Huna lolote
 
Ila huyu dada anamuandama sana dai acha tu apewe vyake..hii sio mara ya kwanza
 
Ila ampotezee tu maana anqyefaidika ni huyo dada
 
Elimu inakusaidia nini kama Mond darasa la saba lakini kakuzidi kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…