Diamond enough is enough plagiarism is not legalised

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides.

Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake
kwa watu tuliokuwa tunamuheshimu.

Why always him kuanzia nyimbo aliyofanya na jamaa wa Zimbabwe sijui THE ONE na nyingine nyingi.

Kama anataka scholar's tumuelewe he is supposed to put citations and references where the work originated na sio kufanya plagiarism.

VIDEO YA LEO YA JEJE HE COPIED AND PASTED SOMEWHERE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulieni kidogo tufike 1M kwanza ndio mlete malalamiko yenu [emoji2]

Unataka ubunifu kutoka Mars au? Chema chajiuza kibaya chajitembeza...kama kucopy kunaleta mkwanja,nanyie kopini basi [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nashangaaga sana. Miziki ya bongo wengi wana copy naija hawa hit. Sasa wajiulize kwa nini huyu anahit hata kama ka copy.
Hata huu jojo hakukopi hiyo biti common sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…