kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Mimi sijasema sehem yoyote viwers ni pesakupata viewers wengi huko youtube au kujaza watu huko kigoma sio kigezo cha kupata pesa mjomba elewa ilo usidanganywe endorsement ndo kila kitu wakina wizkid wanaingiza mtonyo mrefu kupitia starboy label wizkid alilipwa pesa ndefu na kampuni ya nike kutumia jina hilo kwenye brand zake we haujiulizi kwanini isiwe diamond tangia apatage ile kampuni ya vinywaji berare mpaka leo hajapata dili la maana
Hizo show unazo diss sio pesa ,ni kitu gan? ,we anajua hizo endorsement unazosema sio zamaana analipwa sh ngap?
Mkuu ww umeshapga endorsement ngapi mpaka saiz? [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app