Diamond enough is enough plagiarism is not legalised

Wakati unaandika haya he is far away making pounds m dollars on bulks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulieni kidogo tufike 1M kwanza ndio mlete malalamiko yenu [emoji2]

Unataka ubunifu kutoka Mars au? Chema chajiuza kibaya chajitembeza...kama kucopy kunaleta mkwanja,nanyie kopini basi [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
kupata viewers wengi huko youtube au kujaza watu huko kigoma sio kigezo cha kupata pesa mjomba elewa ilo usidanganywe endorsement ndo kila kitu wakina wizkid wanaingiza mtonyo mrefu kupitia starboy label wizkid alilipwa pesa ndefu na kampuni ya nike kutumia jina hilo kwenye brand zake we haujiulizi kwanini isiwe diamond tangia apatage ile kampuni ya vinywaji berare mpaka leo hajapata dili la maana
 
Hata huyo Wizkid hapati deal kubwa kila mwaka.Ubalozi wa Belaire na Pepsi si haba kwani ni brand kubwa duniani.

Hamna source kubwa ya mapato kwa msanii yoyote kama tours.Tours ya kwanza,alafu deal na digital platforms.

Beyonce alilipwa dollar 50m na Toyota,beyonce show moja analipwa $2m,utakuta kwa mwaka ana show zaidi ya mia.

Haya ukimtoa Wizkid nani mwingine ana mkataba na Nike,ina maana na wao wazembe au hawafai au hawaingizi hela.
 
Hata huyo Wizkid hapati deal kubwa kila mwaka.Ubalozi wa Belaire na Pepsi si haba brand kubwa duniani.

Hamna source kubwa ya mapato kwa msanii yoyote kama tours.Tours ya kwanza,alafu deal na digital platforms.
Mkuu elewa ilo end
Mkuu bado nakwambia endorsement ndo kila kitu kwa msanii hivi vitu vingine wanavyoshoboka navyo wabongo ni kujifurahisha tu tena endorsement za maana sio sijui pepsi au voda ambao wanalipa sio juu ya mil 500 sasa kwa diamond si bajeti ya kulala hotelini
Labda haufuatilii lakini wenzetu wanaija wanapata deal za maana kwanzia bilion na kuendelea pia wanaplatform za kuuzia nyimbo zao tofauti na sisi tunadowlod bure
Kingine nachokiona wasanii wetu wabongo wanapenda sifa tu nyimbo ndani ya masaa machache inafikisha mill 1 baada ya hapo video inaanza kwenda kama kawaida upata viewers halisj ndo mana hakuna nyimbo zenye viewers mil 100 bongo
 
Deal za maana zipi? Zitaje ukimtoa Wizkid kupata deal la maana nitajie mwingine?

Wewe Youtube unaona hela ndogo? Wakati Millard Ayo Kaajili watangazaji Tanzania nzima kwa ajili ya hiyo Youtube,ana gari la kurushia matangazo kwa ajili ya hiyo Youtube na kwa mwaka viewers wa Diamond na Millard Ayo wana karibiana.

Unajisifia kudownload nyimbo bure,alafu unataka Nike waingie mkataba wa kutengeneza nguo na Diamond,utanunua nguo ww?Wakati dollar moja tu kutoa kununua nyimbo huwezi,je dollar 20 ya kununua T-Shirt (Starboy tshirt moja ni zaidi ya $20) ya Diamond utakuwa nayo.

Nike hawaingii mkataba tu hivi hivi wakati nyie mshazoea magumashi na kuseleleka.Wanaija kwanza kwao wapo wengi zaidi ya 200m,pili wametapakaa dunia nzima (UK pekee wapo zaidi ya laki 2),pili industry yao ipo matured kuliko yenu tatu wanasapoti wasanii wao kwa kununua nyimbo ndio maana una waona Itunes,Sportfy zipo Naija si huku Mdundo na Mkito zimetushinda ,tumezoea kuseleleka kupitia Bekaboy,Kidebway nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…