Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Hata mchepuko wa mama ako ni ANKO sio lazma awe ni mtoto wa dada ako au mdogo wa mama ako kaa nayo hiyo....na ametoa takataka nyingi kibao kweli tukianza na Sound,tukija na baba Lao zote mwaka huu na hazisikiki tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka pia diamond amepata sponsor Turkish airlines kwenye show yake ya European tour itayoanza hiv karibuni.Mkuu elewa ilo end
Mkuu bado nakwambia endorsement ndo kila kitu kwa msanii hivi vitu vingine wanavyoshoboka navyo wabongo ni kujifurahisha tu tena endorsement za maana sio sijui pepsi au voda ambao wanalipa sio juu ya mil 500 sasa kwa diamond si bajeti ya kulala hotelini
Labda haufuatilii lakini wenzetu wanaija wanapata deal za maana kwanzia bilion na kuendelea pia wanaplatform za kuuzia nyimbo zao tofauti na sisi tunadowlod bure
Kingine nachokiona wasanii wetu wabongo wanapenda sifa tu nyimbo ndani ya masaa machache inafikisha mill 1 baada ya hapo video inaanza kwenda kama kawaida upata viewers halisj ndo mana hakuna nyimbo zenye viewers mil 100 bongo
Watanzania wengi wachawi, hazisikiki wapi?na ametoa takataka nyingi kibao kweli tukianza na Sound,tukija na baba Lao zote mwaka huu na hazisikiki tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanya kazi ya Lucifer hata uwe tajiri vipi..ni mikosi tu..huyu jamaa mfuasi wa Lucifer na lengo lake ni kuharibu hiki kizazi..akiimba wimbo bila matusi unapotea akiweka matusi unahit..nyie nyumbu mnaompenda wote wanga tuna watoto wadogo ebo!Wakati unaandika haya he is far away making pounds m dollars on bulks
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu elewa ilo end
Mkuu bado nakwambia endorsement ndo kila kitu kwa msanii hivi vitu vingine wanavyoshoboka navyo wabongo ni kujifurahisha tu tena endorsement za maana sio sijui pepsi au voda ambao wanalipa sio juu ya mil 500 sasa kwa diamond si bajeti ya kulala hotelini
Labda haufuatilii lakini wenzetu wanaija wanapata deal za maana kwanzia bilion na kuendelea pia wanaplatform za kuuzia nyimbo zao tofauti na sisi tunadowlod bure
Kingine nachokiona wasanii wetu wabongo wanapenda sifa tu nyimbo ndani ya masaa machache inafikisha mill 1 baada ya hapo video inaanza kwenda kama kawaida upata viewers halisj ndo mana hakuna nyimbo zenye viewers mil 100 bongo
Fundisha paka waelewe mziki unaendaje[emoji106][emoji106]Mkui huko unamrudusha kwenye u underground. Hawezi kwenda kwenye award za CAF akapiga nitarejea au ukimwona!!! Na aina hiyo ziko kibao sl hizi kina mario nk
Scholar gan unamuda wa kuandika ujinga.Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides.
Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake
kwa watu tuliokuwa tunamuheshimu.
Why always him kuanzia nyimbo aliyofanya na jamaa wa Zimbabwe sijui THE ONE na nyingine nyingi.
Kama anataka scholar's tumuelewe he is supposed to put citations and references where the work originated na sio kufanya plagiarism.
VIDEO YA LEO YA JEJE HE COPIED AND PASTED SOMEWHERE.
Sent using Jamii Forums mobile app
nyimbo kufanana majina kawaida
Acha uongo,hakuna msani anayefanya show zote hizo kwa mwaka!Hata huyo Wizkid hapati deal kubwa kila mwaka.Ubalozi wa Belaire na Pepsi si haba kwani ni brand kubwa duniani.
Hamna source kubwa ya mapato kwa msanii yoyote kama tours.Tours ya kwanza,alafu deal na digital platforms.
Beyonce alilipwa dollar 50m na Toyota,beyonce show moja analipwa $2m,utakuta kwa mwaka ana show zaidi ya mia.
Haya ukimtoa Wizkid nani mwingine ana mkataba na Nike,ina maana na wao wazembe au hawafai au hawaingizi hela.
Mi si ongei ongei kama were,Bruno Mars 2017-2018 alifanya show 204.Acha uongo,hakuna msani anayefanya show zote hizo kwa mwaka!
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides.
Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake
kwa watu tuliokuwa tunamuheshimu.
Why always him kuanzia nyimbo aliyofanya na jamaa wa Zimbabwe sijui THE ONE na nyingine nyingi.
Kama anataka scholar's tumuelewe he is supposed to put citations and references where the work originated na sio kufanya plagiarism.
VIDEO YA LEO YA JEJE HE COPIED AND PASTED SOMEWHERE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides.
Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake
kwa watu tuliokuwa tunamuheshimu.
Why always him kuanzia nyimbo aliyofanya na jamaa wa Zimbabwe sijui THE ONE na nyingine nyingi.
Kama anataka scholar's tumuelewe he is supposed to put citations and references where the work originated na sio kufanya plagiarism.
VIDEO YA LEO YA JEJE HE COPIED AND PASTED SOMEWHERE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni zaidi ya mwaka!Mi si ongei ongei kama were,Bruno Mars 2017-2018 alifanya show 204.
2017-18 (2years) ,shows 204,wastani wa shows kila mwaka 204/2=102 yaani kila mwaka kwa wastani shows 102 au kati ya miaka miwili kuna mwaka alipiga show zaidi ya mia na mbili pungufu ya mwaka mwengine.Hapo ni zaidi ya mwaka!
Nadhani nyingine hapo ni zile shows kama za kampeni,watu wanapiga paap wanaamsha popo!2017-18 (2years) ,shows 204,wastani wa shows kila mwaka 204/2=102 yaani kila mwaka kwa wastani shows 102 au kati ya miaka miwili kuna mwaka alipiga show zaidi ya mia na mbili pungufu ya mwaka mwengine.
Hizo hesabu tu za wastani.
Naona unabishana na habari iliyofanyiwa tafiti.Nadhani nyingine hapo ni zile shows kama za kampeni,watu wanapiga paap wanaamsha popo!
One man full show huwezi toboa shows nyingi hivyo!Yaani wastani wa kila baada ya siku 3 show!
mkkfvggMzee ukiendelea hv soon unagraduate na kuwa mchawi kamili hivi Tanzania ina idadi ya watu wangapi na Nigeria ina idadi ya watu wangapi? So unataka msaniii wa Tanzania alingane na msaniii wa Nigeria ndio uone kafanikiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app