Diamond enough is enough plagiarism is not legalised

Mkuu, angalia walau basi uchumi wa nchi husika, kuna makampuni multi national mangapi yenye exposure world wide Na yanayotengeneza mkwanja mrefu kati ya Nigeria na Tanzania.

Uchumi wa nchi kama Nigeria na South Africa makampuni yana uwezo mkubwa wa kutoa endorsement kwa pesa ndefu ata kwa wasanii wao wengi wenye uwezo wa kawaida kwasababu zenyewe zinatengeneza pesa ndefu uko nchini kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo wizkid hiyo starboy amecopy kwa the weekend na ndio msanii ulimwenguni mwenye hakimiliki ya hilo jina, kwa hiyo kucopy ajaanza diamond tuh.
 
huyo wizkid hiyo starboy amecopy kwa the weekend na ndio msanii ulimwenguni mwenye hakimiliki ya hilo jina, kwa hiyo kucopy ajaanza diamond tuh.
Hivi kampuni kubwa na nike yenye wasomi unazani watawezekeza kwenye brand ambayo inakopi ya mtu mwingine unawaza nini jomba
 
Hivi kampuni kubwa na nike yenye wasomi unazani watawezekeza kwenye brand ambayo inakopi ya mtu mwingine unawaza nini jomba
Producer aliyetengeneza joro ya Wizkid ndo huyo huyo ametengeneza jeje ya diamond ana identity ya utayalishaji wa mziki wake ni sawa producer T-touch midundo yake mingi inakaribiana kufanana lakini haifanani cos hiyo ndio identity yake ya muziki.
 
Dude’s run out of creativity. The kind of crappy tracks he’s released recently are what you’d call album fillers. He needs to get his shit together or just retire.
 
Wewe jombaa unaongelea ushabiki.... unasema Pepsi brand ndogo hivi unaijua Pepsi wewe! Pepsi iliwapa shavu Messi na mo Sarah na ikawapa mpunga wa kutosha, kwa hiyo wewe unaona nike ndiyo brand kubwa pekee? na kuhusu kupenda sifa huyo wizkid kwa Nigeria hkn wa kumzidi na huyo diamond anaweza akasubiri, nikukumbushe tuh mwaka jana mwishoni wizkid alifanya party iliyojaa wadada zaidi ya mia na alijisifu yeye ni mzee wa totooz. kingine wizkid ana watoto 3 ambao kila mtoto na mama yake, so usimuone mwema sana wizkid na umponde chibu
 
Dude’s run out of creativity. The kind of crappy tracks he’s released recently are what you’d call album fillers. He needs to get his shit together or just retire.
Kwanini usianze wewe kwanza kutastaafu? Ubunifu gani wewe umeufanya kwenye career yako
 
Huyo Swizzbeatz ni B class producer kama siyo C tena during his peak. Hana makubwa ya kujivunia kimuziki. His only claim to fame today labda kumuoa Alicia Keys.
Wacha weee ,unaonekana si mfuatiliaji wa hiphop mtu kishafanya kazi mara kibao kina Jay Z,Eve,Nas,DMX,Beyonce,TI,Miss Elliot na wengineo wengi.

Husifanye masihala kufanya kazi na hivi vichwa vitatu,Beyonce,Jay Z na Nas tena mara kibao si swala dogo,yaani mshawishi bilionea Jay Z &Beyonce wafanye kazi na ww tena zaidi ya mara moja,yaani wanaacha biashara zao za mabilioni ya shilingi wanafanya kazi na ww,eti unamwita class B.

Swizz,Timberland,Pharell ,Dr dre,Scott Storch , hawa maproducer wa kipekee CLASS A ambao wana uwezo wakuji ID kupitia biti zao.
 
Producer aliyetengeneza joro ya Wizkid ndo huyo huyo ametengeneza jeje ya diamond ana identity ya utayalishaji wa mziki wake ni sawa producer T-touch midundo yake mingi inakaribiana kufanana lakini haifanani cos hiyo ndio identity yake ya muziki.
Wewe umeshindwa kutofautisha kati sample na identity ya muziki wa producer
 
Ndo mana nikasema hiyo ni pepsi Tanzania haihusiani na pepsi inayodhamini wachezaje wakubwa na ligi za ulaya
 
Hivi kampuni kubwa na nike yenye wasomi unazani watawezekeza kwenye brand ambayo inakopi ya mtu mwingine unawaza nini jomba
labda wameingia mkataba na wizkid na sio starboy? na sio kila dili analopata diamond linahusiana na wasafi, usikalili jombaa elewa
 
Najua kazi za Swizzbeatz kuliko unavyonifikiri. Alivyotoa ile garbage self-produced album yake 2007 “One man band man” nadhani ulikuwa darasa la 2. Huyu ni producer ambaye hafai kabisa kukaa mbele ya musical keyboard.
 
Najua kazi za Swizzbeatz kuliko unavyonifikiri. Alivyotoa ile garbage solo album yake 2007 “One man band man” nadhani ulikuwa darasa la 2. Huyu ni producer ambaye hafai kabisa kukaa mbele ya musical keyboard.
Mimi namjua Swizz kipindi anafanya kazi na DMX ,tena kipindi hiko DMX yupo kwenye chati enzi hizo brand zilikuwa zinatamba,Damon DADA,Sean John,FUBU,WuTang,Rocawear sasa fuatilia hizo trend alafu jiulize wewe ulikuwa na miaka mingapi.

Mtu humjui alafu unatupigia kelele bora ungekaa kimya.
 
Huyo Swizzbeatz ni B class producer kama siyo C tena during his peak. Hana makubwa ya kujivunia kimuziki. His only claim to fame today labda kumuoa Alicia Keys.
hahah hv unamjua swizzbeat wewe au umemjua baada ya diamond kumpost, swizz juzi tuh amemrudisha lil wyne kwenye game, Unapomzungumzia swizz kuwa na adabu coz sisi watu wa hiphop tunajua mchango wake ulimwenguni coz swizz na dre hao ni class A
 
Mi nimewaambia watu hapa kwamba Diamond anahitaji menejimenti mpya. Hawa kina Tale na Sallam wanamdanganya sana. Hatukatai wametoka mbali sana ila anapaswa kufanya maamuzi magumu kwa sasa. Ataishia kutumia pesa nyingi sana na akili kidogo kutafuta umaarufu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…