Diamond enough is enough plagiarism is not legalised

Diamond enough is enough plagiarism is not legalised

Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kucopy works of others (Artists) without agreements between both sides.

Kisheria hilo ni kosa na kiubinadamu lina mshushia kabisa credibility yake
kwa watu tuliokuwa tunamuheshimu.

Why always him kuanzia nyimbo aliyofanya na jamaa wa Zimbabwe sijui THE ONE na nyingine nyingi.

Kama anataka scholar's tumuelewe he is supposed to put citations and references where the work originated na sio kufanya plagiarism.

VIDEO YA LEO YA JEJE HE COPIED AND PASTED SOMEWHERE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha povu. Mwenye huo wimbo kasemaje? Au wewe ndio msemaji wake?
 
To me. Ukimuona and i miss you ndo best kwangu.. Haya ya sasaiv ni matakataka tyuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

tulia mzee baba,fahamu akilin kwako sas hivi Diamond sio wa kuwaimbia watu wa mwananymala na vingunguti peke ake.

Haya matakataka ndo yanayompa fans base kubwa na shows nyingi africa nzima

Ulitegemea ukimwona na kamwambie ndo aende kuziimba uko sijui Ghana sijui Burkinafaso na kwingineko?!!

Jamaa anatoa nyimbo kulingana na targets zake,anajua kabisa nyimbo zipi akitoa zitahit bongo pekeake,nyimbo zipi zitahit africa na nyimbo zipi zitahit woldwide...

karibu usikilize jeje mkuu !!!!
 
Deal za maana zipi? Zitaje ukimtoa Wizkid kupata deal la maana nitajie mwingine?

Wewe Youtube unaona hela ndogo? Wakati Millard Ayo Kaajili watangazaji Tanzania nzima kwa ajili ya hiyo Youtube,ana gari la kurushia matangazo kwa ajili ya hiyo Youtube na kwa mwaka viewers wa Diamond na Millard Ayo wana karibiana.

Unajisifia kudownload nyimbo bure,alafu unataka Nike waingie mkataba wa kutengeneza nguo na Diamond,utanunua ww?Wakati dollar moja tu kutoa kununua nyimbo huwezi,je dollar 20 ya kununua T-Shirt (Starboy tshirt moja ni zaidi ya $20) ya Diamond utakuwa nayo.

Nike hawaingii mkataba tu hivi hivi wakati nyie mshazoea magumashi na kuseleleka.Wanaija kwanza kwao wapo wengi zaidi ya 200m,pili wametapakaa dunia nzima (UK pekee wapo zaidi ya laki 2),pili industry yao ipo matured kuliko yenu tatu wanasapoti wasanii wao kwa kununua nyimbo ndio maana una waona Itunes,Sportfy zipo Naija si huku Mdundo na Mkito zimetushinda ,tumezoea kuseleleka kupitia Bekaboy,Kidebway nk.
umeongea ukweli ila ni kama unaukwepa ukweli pia. Unakataa vipi kuhusu endorsement kuwa na mamsaada katika uchumi wa msaniiesmsaniiemsanii especially wa kibongo..?
ukiachana na show njia nyingine ya kutengeneza pesa kwa msanii wa kibongo ni hzo endorsement japo wanaopata ni wachache.
 
umeongea ukweli ila ni kama unaukwepa ukweli pia. Unakataa vipi kuhusu endorsement kuwa na mamsaada katika uchumi wa msaniiesmsaniiemsanii especially wa kibongo..?
ukiachana na show njia nyingine ya kutengeneza pesa kwa msanii wa kibongo ni hzo endorsement japo wanaopata ni wachache.
Sijakataa ila nimezipanga ktk order ya kwanza show,pili endorsement na mwisho digital platforms.Nilimshangaa zaidi alipoziponda Nike na Belaire kisa Wizkid kasaini na Nike.
 
Nimemmis yule Diamond wa "Ukimwona", Nitarejea, Lala Salama, Mawazo". Huyu Diamond mpya sio aisee amefeli.

kabisa,
diamond wa i miss you sio huyu wa haya ma jeje
jamaa anapoteana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
U should always make sure that u r nit stuck.Keep moving by anyhow, life is race with ur own success competition.
Huwez paa kimbia.
Hiwezi kimbia tembea
Huwez tembea tambaa.
Just keep moving.

NB
thi is for anybody & everybody
 
Huyo Swizzbeatz ni B class producer kama siyo C tena during his peak. Hana makubwa ya kujivunia kimuziki. His only claim to fame today labda kumuoa Alicia Keys.

Mtu uki hate hukosi angle ya kukandia. Haya, tuseme basi swizz class B, ila tukubaliane ana brand kubwa kwenye music/celebrity industry. Kwa hiyo ngoma ikitoka ita hit, brand ya mondi inakuwa. Na swizz na alicia wanaweza kuwa daraja kwa mondi kuwafikia mastaa wakali zaidi!!! Ila unadhani yeye swizz anakubali tu collabo na m2 yoyote bila kujali brand yake? Na kama swizz hafai wale kina rick ross, neyo, omarion nao vipi? Ku hate kazi sana. Halafu mondi anajua ku deal na haters kuwarusha roho duh...!!!
 
Wacha weee ,unaonekana si mfuatiliaji wa hiphop mtu kishafanya kazi mara kibao kina Jay Z,Eve,Nas,DMX,Beyonce,TI,Miss Elliot na wengineo wengi.

Husifanye masihala kufanya kazi na hivi vichwa vitatu,Beyonce,Jay Z na Nas tena mara kibao si swala dogo,yaani mshawishi bilionea Jay Z &Beyonce wafanye kazi na ww tena zaidi ya mara moja,yaani wanaacha biashara zao za mabilioni ya shilingi wanafanya kazi na ww,eti unamwita class B.

Swizz,Timberland,Pharell ,Dr dre,Scott Storch , hawa maproducer wa kipekee CLASS A ambao wana uwezo wakuji ID kupitia biti zao.
Swizzbeatz ni producer hovyo hadi anatakiwa apigwe marufuku kukaa mbele ya kinanda. Hizo beats huwa anaiba au kuwalipa watu na kama unataka kujua upeo wa kipaji chake sikiliza solo album yake "One Man Band Man".
 
Wewe jombaa unaongelea ushabiki.... unasema Pepsi brand ndogo hivi unaijua Pepsi wewe! Pepsi iliwapa shavu Messi na mo Sarah na ikawapa mpunga wa kutosha, kwa hiyo wewe unaona nike ndiyo brand kubwa pekee? na kuhusu kupenda sifa huyo wizkid kwa Nigeria hkn wa kumzidi na huyo diamond anaweza akasubiri, nikukumbushe tuh mwaka jana mwishoni wizkid alifanya party iliyojaa wadada zaidi ya mia na alijisifu yeye ni mzee wa totooz. kingine wizkid ana watoto 3 ambao kila mtoto na mama yake, so usimuone mwema sana wizkid na umponde chibu
Jamaa naona anavyoona SBC Tanzania wanapouza brand za Pepsi anadhani Pepsi ni local....infact Ushirikiano na Pepsi Co na SBC kitaalamu unaitwa Franchisement...mtu anakuruhusu utumie brand yake kwa kuuza products zake..then mnagawana mapato....

Mwenye brand anapata faida ya ku expand kwenye masoko mapya bila kutumia gharama nyingi maana zinakuwa covered na franchisee. Yeye anatawapa business formula tu na marketing...

Pepsi ni kampuni kubwa kushinda hata Cocacola. Ni giants hao, si wa mchezo mchezo. Hela inayotengenezwa na SBC Tanzania inawafikia hadi Pepsi Marekani pindi wanapogawana profit. Si suala dogo hilo.
 
cha ajabu hao ambao una dai wame copiwa nyimbo zao ama beats zao mbona hakuna hata mmoja alie jitokeza aka leta malalamiko kwamba kazi yangu ime ibiwa
we ni nani mpka g3ny3 zikupande uje kuleta huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swizzbeatz ni producer hovyo hadi anatakiwa apigwe marufuku kukaa mbele ya kinanda. Hizo beats huwa anaiba au kuwalipa watu na kama unataka kujua upeo wa kipaji chake sikiliza solo album yake "One Man Band Man".
Kati ya Jay Z,Beyonce,Nas,Eve,Miss Elliot nk na yupi anayujua quality ya biti au nani anayejua uwezo wa Swizz.

Yaani sisi akina Mbonde huku dunia tatu tuna tabu tukisha shiba dona letu,kila kitu tunajua,yaani kwa hiyo Beyonce ,Jay Z,Nas wamepoteza mda wao kufanya kazi na Swizz?

Miss Elliot ambaye naye producer,amepoteza mda wake kufanya kazi na Swizz.

Yaani daaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂.Alafu una mponda mtu aliyetengeneza nyimbo kibao zilizoshika nafasi za juu ktk chart za billboard.
 
Nasubiri Kuona Wimbo Alio Copy Na Kupaste Nisikilize Nao! Mwenye Nao Naomba na mimi Nione
 
Back
Top Bottom