Diamond Fanya mziki, achana na 'Janja Janja'

Team kariakoo mnataka.adii balance kuntrend kwny ishuu ambazo haziwahusuu alafuu hata america mbn aya mambo yapooo kila.konaa
yapoo bhn uyuu ni msaniii
Kwahiyo kama America hayo mambo yapo ndio uhalali wakuwepo na sehemu zingine? kwahiyo umeona america ndio point of reference to smartness and perfection? acha kujidharau kijana,kila jamii/taifa lina tamaduni zake.
 
Nalazimika kusema kati ya mataifa yote duniani, huenda 'waTz' ndio tukaongoza kuwa na watu wenye akili 'ndogo' ama labda tutumie 'hatujatukuka kifikra'..

Sababu za kusema hivi, ni uwezo wetu 'Mdogo' wa kung'amua mambo na kuyatafakali kabla ya kuingia 'Mkenge wazima wazima'..

Yani tunauthamini sana 'Ufake' ama 'kick' kuliko uhalisia. Tumekalia 'kuchezewa' akili kama watoto wa kike. Kitu cha ku-'trends' social media et 'tunapangiwa na watu flani'.. Na sisi bila hata kutafakali, tunaingia wazima wazima.. Upuuuzi

Majuzi tumetoka kuchezeshwa 'Ndomboro ya Soro' na Mzee wa Liquid.. Mara tukamuona Bungeni, hivi ni nani yupo nyuma ya hawa watu. Anatugeuza vile atakavyo.. Apana kwa kweli..

Mbongo fleva, Naseeb Abdul, Chibu Denga, Diamond Plutnum's , kama wengi wanavyomuita, ni mmoja ya vijana waliofanikiwa/wamefanikiwa kuwalisha cha kuongea watanzania..

Kwa tafsiri isiyo rasmi, ni kuwa jamaa
'Ametuweza..' Yani Atupindui. Si wanaume wa Tarime, ama wale wa Dar. Si madem wa kshua, ama wale wacheza visingeli..

Jamaa kwa sasa kila akitaka kuja na bidhaa flani, basi watanzania lazima wapewe kitu flani cha kuandika Mitandaoni. Nao kwa akili yao 'ndogo' watafata 'maelekezo' Toka juu.. Upuuuzi

Majuzi kama sikosei Jamaa alitambulisha ile frequency kwa wanaume wa dar, ila cha ajabu Discussion zikawa ni kumuhusu mzazi mwenzake, yule Mjasiamali aishiye Bondeni kwa Madiba.

Mara tuone yupo na mzee wake, binafsi nikasema 'tayali watz wamepewa cha kuandika'

Ushauri
Kijana aongeze juhudi kwenye kazi, aachane na mambo ya kick. Leo watanzania hawazungumzii tena kazi yake mpya, ila wanachozungumzia ni kile alichosema kumuhusu 'Aliyekuwa mpenziwe'

Pia apunguze kuimba matusi.

Hitimisho
Watz ninyi ndio sababu ya haya mambo ya kick kutrends social media, mkiyapuuza hayatajirudia tena..

Nitoe rai yangu kwa Serikali yangu tukufu, serikali inayojinasibu kuwa ndio serikali ya wanyonge, iweke tozo kwa hawa wanyonge ya angalau mia tatu'300' ili tu ku-acces kwny mitandao ya kijamii.. Hii itasaidia gharama za bando kuwa juu, hivyo kupunguza mambo ya kijinga kutrend mitandaoni.

Pia itasaidia hawa wanyonge kuendelea kuwa wanyonge zaidi na zaidi ili serikali yetu tukufu iendelee kuongoza wanyonge.

Nawasilisha
Pimbi kweli wew!
 
Bora mtu akose hela ya kula ila sio bundle.
 
Back
Top Bottom