Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,211
- 12,538
kuna mtu anaitwa cassim mganga, jamaa anajua sana, tena sana ila ndo hivyo tena....Diamond kama anaweza akaushe apige mzigo tuu, alafu lingine ni kwamba mimi si shabiki wake na haitokuja kutokea, lakini ktk mafanikio namuunga mkono anajua kazi inatakiwa iwe vipi, kuhusu mziki wake kwa kweli siupendi, sababu simuelewi anaimba nini, karibia nyimbo tatu za mwisho naona anazalilisha tu wanawake na kulamba lamba lile @#$_&+ hamna lingine, kila la kher diamond ila usiwatukane wenzako, umeshasahau maisha ya kimara na Tandale?