Unatia huruma [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na yeye ni binadamu pia.
Kaka umeajaribu kujitetea apo mwishoni kuwa ww ni team Tanzania lkn katika bandiko lako inaoneaha kabisa ww una ushabiki fulani iv kwa sababu umejaribu kumpamba mmoja kwa sifa kedekede mara cjui hajafanya kolabo na kapata nomination kibao ile na sauti sol ilikuwa nn.....kama haimuhusu kwa nn aliipaform kwny tuzo za mtv-mama kila msanii na njia zakeMleta Uzi umeongea maneno mengi ya msingi na ya kumjenga msanii wetu Diamond ambaye kwa sasa ndio mwenye mafanikio zaidi kimuziki hapa nyumbani.
Lakini kuna mambo kadhaa umesahau kumshauri.Kwanza ,tungo za msanii huyu zimeanza kuwa na matusi sana hususani wimbo wa Salome.Asipo liangalia hili ataanguka.
Pili ,Asipende kujizifia sana kuhusu mafanikio yake na kutoa kauri za dharua kwa wale anaowazidi.Hili litamwangusha.
Cha mwisho , nachukua nafasi hii kukukosoa wewe mleta uzi kwa kauri yako eti Diamond ndiye aliyemrudisha/mpandisha Ali Kiba,hapo umepuyanga mbaya kabisa.
Ali Kiba ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana wa kuimba huyo Diamond akasome.Diamond anajua biashara ya muziki +bahati/kupendwa lakini music wise Kiba ni Babaake.
Ali Kiba amejirudisha mwenyewe kimusiki huku akisapotiwa na mashabiki wake na bila kutafuta collaboration na wasanii wa nje kajulikana na kufanya vizuri hapa Afrika hususani mwaka huu.Katika mwaka huu kawa nominated kwenye tuzo za kimataifa zaidi ya nane na kushinda kadhaa.Sasa huko nako Diamond kamsaidiaje??
Ni hayo tu.
TeamTanzania
Umeongea kiumeKwanza nianze kwa kuweka wazi mimi ni die hard fan wa Diamond kutoka siku ya kwanza na Kamwambie yake. Tumekuwa tukitoa sapoti kwa kila hali kwa Diamond ambaye ni msanii wa mfano kwa taifa letu.
Ila kinachoendelea sasa mitandaoni kwa kweli sidhani kama kuna shabiki wa Diamond anakifurahia labda asiwe shabiki wa kweli, yani kifupi jamaa anaharibu kabisa image yake na muziki wake kwa ujumla na anatukera mno .
Ata kama uwe umeudhika vipi na maneno ya chinichini ya wapinzani wako haukutakiwa uripuke kiasi hicho... kwa kweli umetoa maneno mabaya sana ambayo hayafanani na Diamond. Uwa simkubali Ommy Dimpoz lakini maneno uliyomtolea ni makali sana kwa mtu kama wewe,
umetukosea sana mashabiki wako na mbaya zaidi Ommy kaenda kukumaliza kabisa kwenye interview Xxl kwani Yeye alienda kuucheza mchezo wake kwa akili nyingi akaiomba huruma kwa wananchi na mwisho wa siku wewe ndio umeonekana mpuuzi... Umeenda mbali zaidi unatoa post za majigambo ya kipuuzi kabisa mtandanon tena ukimuusisha Mungu dah unafeli sana sijui umelewa nini mwanangu!!
Naomba uchukue ushauri huu.
Tuombe msamaha mashabiki wako kwa utoto unaofanya sababu huyu sio Diamond tunaemjua na tunaemsapoti.
Angalia sana kuhusu huyo meneja wako Sallam ni jamaa mzuri kwenye biashara anaijua biashara ila sio mzuri kwenye PR, image anayotaka kukupa sasa hivi sio yako. Diamond ni mpole very innocent asiyependa ugomvi mwenye adabu hiyo ndio image yako sio hii anayokuingiza Sallam.
Sielewi kwa nini Sallam ndio sasa ana take over! Fella yuko wapi? anayaona haya? Kuwa makini sana na Sallam sisi wengine tunamjua toka Forest hill boma road mpaka akibeba pochi la Merei. Ni mgomvi, mpambe mpambe na mchonganishi kwake kuwagombanisha watu sio ishu kubwa.
Linda sana biashara yako biashara yako inategemea image yako kumbuka unayo kampuni Wcb na kuna makampuni yameweka pesa kwenye image yako so chunga sana hao unaowapa kick hawana cha kupoteza wewe una vingi vya kupoteza. Endelea kuwa yule Diamond mpole mwenye heshima kwa wote.
Mwisho kama ulivyonrudisha Kiba kwenye game sasa unamrudisha Ommy Dimpoz pia soon ataanza kushine, uhoni Kama unajitengezea wapinzani wasiokuwa na ulazima?
Diamond tuombe radhi mashabiki wako, futa upuuzi ulioandika mtandaoni achana na Ommy na Kiba usiwape ukubwa kupitia huruma za udogo wao kwako kutoka kwa watu unawapa kiki kubwa sana. Pambania Wcb isimame then msikilize sana Fella na msikubali Sallam awacontrol team nzima changanyeni na zenu kidogo.
Kumbuka kupanda ni kazi ngumu ila kushuka ni dakika mbili tu
ni hayo tu!
Yah word enzi za ukimuona, lala salama, mawazo, ntarejea, kesho that music was awesome hata my number 1 ilikuwa bado ya kitz.Umeongea kiume
Diamond ni zaidi ya brand ya kitanzania, he is an African child
Aachane na makandokando, his humbleness ndio ilimfanya akamzidi Davido kirahisi sana when Davido started those tantrums, sasa naona na yeye anaenda kulekule kulikomwangusha Davido (Majigambo)
He also needs to go back to melodies, hizi marimba style za kinaijeria zinamfanya asiwe anavutia and easy to forget his songs
kaingia mkenge wa quantity badala ya qualityYah word enzi za ukimuona, lala salama, mawazo, ntarejea, kesho that music was awesome hata my number 1 ilikuwa bado ya kitz.
Hizi unanimalizaga, sijui nini hazidumu yani baada ya mwezi hutaki hata kuusikia tena.
Mimi mpaka leo ukimuona iko kwa my play list songs...
Sure huu mziki wa kinaija anaofanya sasa haudumu masikioni mwa watu ila tu watu wanasubiri tu kuona video na dancing movies labda.kaingia mkenge wa quantity badala ya quality
Ukiangalia stars waliodumu sana africa kama akina youssou ndou, kofi olomide, franco, makeba, mutukudzi, salif keita, etc walibaki na identity ya muziki wao... si lazima kutoa wimbo kila wiki ili kuwa a mega star
Vilevile jamaa amebadili image, ile humble yake inapotea siku hadi siku na sasa ameanza kuwa mtu mtu wa kashfa na matusi kwa waliokosa... Even his image inabadilika, hata zile descent look imeanza kupewa extension ya manywele ya ajabu ajabu
Chibu is our star, arudi kwenye kioo na arudi kwenye origino...
AbsolutelySure huu mziki wa kinaija anaofanya sasa haudumu masikioni mwa watu ila tu watu wanasubiri tu kuona video na dancing movies labda.
Baada ya mwezi over.
Na video sasa zinafanana na hii almost ni kwa wote I think wabadili ma director maana video lazima kuwe na sofa jeupe ama magari yamepaki wao wana dnce mbele, hotelin kitanda chenye shuka nyeupe, hotel kali.
Juzi nilikuwa natazama wimbo wa brick and lace wa love is wicked yani ile video ni so simple location kama frem za maduka za uswaz tu lakini hata ukiitazama leo video bado iko poa wakati imetoka nadhan 2008.
I think inabidi arudi kwenye his roots, seriously aache kuwa arogant AY nadhani ni kati ya wasanii wanaopendwa sana kwakuwa uwa ni mkimya..