Diamond Feat P-Square kutoka leo hii!!

Diamond Feat P-Square kutoka leo hii!!

Enjoy mzurimie, hunishindi mimi kwa kuomba nyimbo kwa Madj, lakini wako Madj wengine wanajitambua anaweza akaunganisha debe 10 hadi 20 hata kutoka kwenye dancing floor hutaki. Ukitoka hapo shati chepechepe lol! si nimeenda kujirusha banaa tena kwa raha zangu sasa kwanini nikae kwenye kiti kama nimepigiliwa misumari!?

Hadi raha

Umeniwashia moto wa mtoko weekend hii nikaburudike na nyimbo ulizorusha.

DJ lazima aombwe
 
Enjoy mzurimie, hunishindi mimi kwa kuomba nyimbo kwa Madj, lakini wako Madj wengine wanajitambua anaweza akaunganisha debe 10 hadi 20 hata kutoka kwenye dancing floor hutaki. Ukitoka hapo shati chepechepe lol! si nimeenda kujirusha banaa tena kwa raha zangu sasa kwanini nikae kwenye kiti kama nimepigiliwa misumari!?

Hapo sasa, kweli ma DJ wengine wanajua haswaaaaa na wengi wasio na majina mjini wananishangazaga kwa mpangilio wao wa kutotaka kukaa no kubugi tuuu.

Nimegundua wanaojulikana kama mjini wanaongeza mbwembwe hadi inabidi washtuliwe au mtu huame kiwanja.

Mie ndio napenda hiyo pia mtu unaserebuka hadi unatamani usiku uwe mrefu wasifunge... Enjoy enjoy...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol! Hapo kwenye rangi ndiyo zangu natamani wasifunge lol! Hasa kama debe ni kali basi hata majogoo yakiamka mie nataka kuendelea tu lol! Kujirusha raha sana banaa asikwambie mtu 🙂🙂🙂

Nimependa hiyo, mtu bata jipe mwenyewe inapobidi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tusubiri kuiona na kuisikia nyimbo tulio kuwa tukiisubiri kwa Takribani mwaka Mmoja sasa! Ni ile collabo ya Diamond aliyo washirikisha akina psquare leo inaachiwa! Na yeye anasema kwenye kucheza waliachiwa wao akina peter na paul! Wale walio ulizwa kipindi kile kama wanamfahamu Diamond wakasema NO!

Mond anasema hii ndo best hit kwake! Kikubwa tuwe pamoja hapa
Hao wamefulia sahv hawatampa kiki yoyote
 
Mtawaua watu hapa.... Hahaaa
 
Pop it In..... After the middle Finger...

Hahahaaa
 
Tusubiri kuiona na kuisikia nyimbo tulio kuwa tukiisubiri kwa Takribani mwaka Mmoja sasa! Ni ile collabo ya Diamond aliyo washirikisha akina psquare leo inaachiwa! Na yeye anasema kwenye kucheza waliachiwa wao akina peter na paul! Wale walio ulizwa kipindi kile kama wanamfahamu Diamond wakasema NO!

Mond anasema hii ndo best hit kwake! Kikubwa tuwe pamoja hapa

Mkuu bado haijatoka??? Muda ndio unaisha hivo
 
Back
Top Bottom