Diamond (Fresh/nyama) atakuwa kaguswa/kashikwa pabaya na Alikiba (Kipusa/kito/chuma)

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita.

Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba:

1. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba, hasa kufuatia Music tour nyingi za Alikiba Ulaya na America.

2. Hofu ya kiki ya nyimbo mpya ya Alikiba iliyotarajiwa kutoka wiki hii maarufu kama kipusa. Hivyo Diamond kaamua kuanzisha mipasho kuizima kiki.

3. Skendo ya karanga inayoenea mitandaoni. Hivyo Diamond anadhani kuna mkono wa Alikiba nyuma yake, hasa ukizingatia Diamond kawa muuza karanga maarufu kuliko umaarufu wa kimziki.

4. Skendo ya kukataa mtoto wake na Hamisa, inamvuruga, hasa ukizingatia na yeye alikataliwa na baba, hivyo jinamizi linamtuma kumshambulia yeyote anayemdhani ni kikwazo.

Hizi ndio sababu kuu. Ila mko huru kuongeza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha thread kwa mambo unayofikiria kichwani, ungechangia tu kwenye threads nyingine. Naona utitiri wa threads ambazo hazina kichwa wala miguu, na huu ni ukosefu wa elimu, vijana nendeni shule acheni uboya
 
Umenena vyema kabisa mkuu... Unakuta mwanaume sijui niseme mvulana anaanzisha uzi wa kumsema mwanamume mwenzie, yaani huwa nachoka kweli kweli. Huwa najiuliza hivi hawa wamekulia mazingira gani 😵????
 
Kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha thread kwa mambo unayofikiria kichwani, ungechangia tu kwenye threads nyingine. Naona utitiri wa threads ambazo hazina kichwa wala miguu, na huu ni ukosefu wa elimu, vijana nendeni shule acheni uboya
Kilichokufanya uusome na kuchangia uzi huu ni nini? Ungepita tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha thread kwa mambo unayofikiria kichwani, ungechangia tu kwenye threads nyingine. Naona utitiri wa threads ambazo hazina kichwa wala miguu, na huu ni ukosefu wa elimu, vijana nendeni shule acheni uboya

Kwa hiyo jukwaa la celeb ulitaka kuwe na uzi mmoja tu sio? We kwel kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…