Diamond (Fresh/nyama) atakuwa kaguswa/kashikwa pabaya na Alikiba (Kipusa/kito/chuma)

Diamond (Fresh/nyama) atakuwa kaguswa/kashikwa pabaya na Alikiba (Kipusa/kito/chuma)

Hivi kweli unaweza simama mbele za watu kuwambia watu Alikiba ana mzidi Duamond kimziki? Hahaha
Kama diamond anamzidi alikiba kimziki kwann anamdis kiba, hivi unaweza kumdis mtu ambae unamzidi kila kitu?? Mnajua sio kweli ila mnajitoa ufahamu tu kisa mahaba mlonayo kwa huyo msanii wenu wa taarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita.

Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba:

1. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba, hasa kufuatia Music tour nyingi za Alikiba Ulaya na America.

2. Hofu ya kiki ya nyimbo mpya ya Alikiba iliyotarajiwa kutoka wiki hii maarufu kama kipusa. Hivyo Diamond kaamua kuanzisha mipasho kuizima kiki.

3. Skendo ya karanga inayoenea mitandaoni. Hivyo Diamond anadhani kuna mkono wa Alikiba nyuma yake, hasa ukizingatia Diamond kawa muuza karanga maarufu kuliko umaarufu wa kimziki.

4. Skendo ya kukataa mtoto wake na Hamisa, inamvuruga, hasa ukizingatia na yeye alikataliwa na baba, hivyo jinamizi linamtuma kumshambulia yeyote anayemdhani ni kikwazo.

Hizi ndio sababu kuu. Ila mko huru kuongeza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba ni mwanasesere tu kwa Mond! Yeye akomae tu ni Sinderela!
 
Fresh tu. Mondi anaumiza watu vichwa. Hawapumui. Hahaaa
Mpaka hiyo mistari ya fresh inaandikwa mpaka inarekodiwa mpaka wimbo unatoka kuna MTU Fulani alikuwa halali kwa ajili ya king mpaka kashindwa kujizuia ila jamani kiba anamnyima usingizi diamond mpaka kamtungia taarabu mbili mfululizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata zikiwepo habari mia sawa. Lakini hizi thread za kutoa kichwani si bora uchangie kwenya mada nyingine, maana hii sio habari mpya

Wewe c ungeenda kuchangia huko kwenye habar zinazotoka mbinguni. Pita kimya kimya
 
Ushabiki unaleta upofu.....kuna mmoja ana jina kubwa kuliko uwezo wake,matokeo yake anashindwa hata kufanya show off ambazo husaidia kumbrand msanii sababu mkwanja mdogo,ni aibu kwa msanii kushindwa kutoka nje ya nyumba inayokusitiri kwa uoga wa kuonekana unaishi sehemu ya kawaida!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meneja wa Kisa kaomba apewe kiki ili arudi kama mnavyomuongelea.. mpeni hongera Dai kwa kumsaidia mwenzake.

Haiingii kichwani amuongelee tu.. hata kama naye kapata mpenyo wa kusema yake ya kumkana anayebambikia wmtoto.
 
Wewe c ungeenda kuchangia huko kwenye habar zinazotoka mbinguni. Pita kimya kimya


Point yangu ni kwamba, punguzeni hizi threads za kizwazwa, msinifikirie hii JF members wote ni mapunga kama wewe.
 
Point yangu ni kwamba, punguzeni hizi threads za kizwazwa, msinifikirie hii JF members wote ni mapunga kama wewe.

Mwanaume kamili hawezi ongea mipasho, kama mimi punga nipe kipumulio cha chini hicho nikichungulie
 
Back
Top Bottom