Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Tena atakuwa kenge kwenye msafara wa Mamba[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ishu za karanga kusema sio zake anazitangaza tu
Kama diamond anamzidi alikiba kimziki kwann anamdis kiba, hivi unaweza kumdis mtu ambae unamzidi kila kitu?? Mnajua sio kweli ila mnajitoa ufahamu tu kisa mahaba mlonayo kwa huyo msanii wenu wa taarabuHivi kweli unaweza simama mbele za watu kuwambia watu Alikiba ana mzidi Duamond kimziki? Hahaha
Kilichokufanya uusome na kuchangia uzi huu ni nini? Ungepita tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo jukwaa la celeb ulitaka kuwe na uzi mmoja tu sio? We kwel kenge
Kiba ni mwanasesere tu kwa Mond! Yeye akomae tu ni Sinderela!Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita.
Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba:
1. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba, hasa kufuatia Music tour nyingi za Alikiba Ulaya na America.
2. Hofu ya kiki ya nyimbo mpya ya Alikiba iliyotarajiwa kutoka wiki hii maarufu kama kipusa. Hivyo Diamond kaamua kuanzisha mipasho kuizima kiki.
3. Skendo ya karanga inayoenea mitandaoni. Hivyo Diamond anadhani kuna mkono wa Alikiba nyuma yake, hasa ukizingatia Diamond kawa muuza karanga maarufu kuliko umaarufu wa kimziki.
4. Skendo ya kukataa mtoto wake na Hamisa, inamvuruga, hasa ukizingatia na yeye alikataliwa na baba, hivyo jinamizi linamtuma kumshambulia yeyote anayemdhani ni kikwazo.
Hizi ndio sababu kuu. Ila mko huru kuongeza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hiyo mistari ya fresh inaandikwa mpaka inarekodiwa mpaka wimbo unatoka kuna MTU Fulani alikuwa halali kwa ajili ya king mpaka kashindwa kujizuia ila jamani kiba anamnyima usingizi diamond mpaka kamtungia taarabu mbili mfululizoFresh tu. Mondi anaumiza watu vichwa. Hawapumui. Hahaaa
Hata zikiwepo habari mia sawa. Lakini hizi thread za kutoa kichwani si bora uchangie kwenya mada nyingine, maana hii sio habari mpya
Wewe c ungeenda kuchangia huko kwenye habar zinazotoka mbinguni. Pita kimya kimya
[emoji3][emoji3]Point yangu ni kwamba, punguzeni hizi threads za kizwazwa, msinifikirie hii JF members wote ni mapunga kama wewe.
Point yangu ni kwamba, punguzeni hizi threads za kizwazwa, msinifikirie hii JF members wote ni mapunga kama wewe.