Diamond ft Neyo, Uachie huu wimbo utaisha test umerikodiwa 2015

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kiukweli nimeusikia sikia huu wimbo wa diamond , ila naona kama umeshavuja vuja na akichelewa kuutoa basi utaisha test, utakuwa kama ule alioshirikishwa na mafikizolo, wimbo mzuri lakini alichelewa kuutoa yani wimbo ulirikodiwa 2014 ukaja kutolewa 2016.

Huo wimbo wa merry me uliomshirikisha neyo mi nataka uutoe sasa hivi na sio mwakani mwezi wa nane kama ulivosema maana kama audio tayari na video tayari , usije ukachelewa kuutoa ukashindwa kuhit cjui utamlaumu nani. sasa hivi achia vitu na internation artist mapema ili uweze pambana wizikidayo.

Mi naona ukiutoa sasa hivi utahit kuliko uje kuutoa mwakani ova. kwa maana hata behind the scene ishaliki
 
beat ya mduara unaimba na neyo kule nigeria wizkid anashirikishwa wala aombi collabo tafta DRAKE FT WIZKID DANCE HALL
 
Hii nyimbo itatoka mwezi wa 11 kwasababu mwezi wa 12 neyo atafanya tour ya pamoja na diamond UK so nyimbo itakoka kabla ya tour kuanza
 
Naona ushakua sallam sk any way nadhan atautoa december
 
Nafikiri huyu jamaa aache tu mziki
Wimbo hautadumu hata mwezi redioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…