ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kiukweli nimeusikia sikia huu wimbo wa diamond , ila naona kama umeshavuja vuja na akichelewa kuutoa basi utaisha test, utakuwa kama ule alioshirikishwa na mafikizolo, wimbo mzuri lakini alichelewa kuutoa yani wimbo ulirikodiwa 2014 ukaja kutolewa 2016.
Huo wimbo wa merry me uliomshirikisha neyo mi nataka uutoe sasa hivi na sio mwakani mwezi wa nane kama ulivosema maana kama audio tayari na video tayari , usije ukachelewa kuutoa ukashindwa kuhit cjui utamlaumu nani. sasa hivi achia vitu na internation artist mapema ili uweze pambana wizikidayo.
Mi naona ukiutoa sasa hivi utahit kuliko uje kuutoa mwakani ova. kwa maana hata behind the scene ishaliki