Diamond hajakosea ila kumbuka ulipotoka

Diamond hajakosea ila kumbuka ulipotoka

Kitorondo ni ndege wamejaa majalalni, na ni nyimbo za ngoma maeneo ya pwani si lugha mpya labda huku kwetu bara
 
Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi
Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi
Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka alikuimbisha na Nameless pale Coco Beach enzi zile za Epic Nation ya Zantel), sio safi
Umemsahau KGT, sio safi
Umewatoa akina Zari, Penny, Wema, Naji, Uwoya, Lisa, Hamisa kwenye video zako, safiii
Umemtoa mbosso badala ya beka, sio safi kidogo
Pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo umefikiria mpaka mwisho?

Mi baba yake mzazi basi, kwani hao anaowasaidia wengine walimtunza wakati mdogo, baba ni baba hataiweje? Migomvi ya wazaz ye anaingilia, kwanza yaonyesha bi sandra mdomo mwingi ndomana welitengana na baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom