Diamond hajui, anakwama hapa tu

Diamond hajui, anakwama hapa tu

Unajua kuelezea maisha yako
ikiwa wewe si muanzisha mada wala si comment yako iliyojibiwa halafu ukaja na comment kama uliokuja nayo basi ni dhahiri nimetonesha kidonda cha uhalisia wa maisha yako. Pole mkuu, pambana utatoboa uweze kuhama hapo kwa shem. Ila omba Mungu utusuwe kabla dada yako hajaachwa la sivyo JF utaisikia kwenye bomba ukiwa kijijini unatoa funza miguuni.
 
We unavyoishi siyo kila mtu anavyoishi,toka hapo kwa shemeji unasibisha

Faraja ya mitandao ni kuwa ianwezekana nachat na mdogo wa mke wangu sasa hivi ambae namlisha na kumvisha pamoja na kumtuma asafishe gari. Lakini kwa vile tunatumia pseudonyms basi tunavimbishiana misuli kabisa hapa.
 
Toka kwa shemeji

Huyo mtu aliyeanzisha huo Mjadala ni mlevi au teja, asiyeujua Mziki wa Africa

au WCB walitoa viposho kama kawaida yao jamaa aanzishe mjadala..

Ndugu ebu lete Uthibitisho wa chibunye kulipwa 100m Kwa show moja.. Sitaki porojo nataka uthibitisho
Show ya Kenya hii Diamond kalipwa 5mil Ksh sawa na milion 108 za Tsh.Hao wasanii wa Mombasa wana lalamika baada ya kupunjwa.
OD2.jpg

Na hii show nyingine Uganda Diamond kalipwa Ugsh mil 165 ukizibadilisha kwa hela zetu unapata milion 100.8.
Ugandan Artistes Shocked By The Amount Of Money Paid To Diamond Platinumz – Chano8

"According to the information we got, Diamond received Ug Shs 165 m minus his band and flight yet all Ugandan artistes had to share Shs 20m to perform."

Kijana kumchukia kwako Diamond haku mpunguzii kitu.Alafu na hisi hii ni ID yako nyingine ila tusha kuzoea.
 
Diamond mi namkubali Kwa hustling zake , kiukwel Kwa yyte anayeonyesha chuki Kwa huyu jamaa probably ni muuaji.... Jamaa anamlipa mpak mpiga picha One mill per month na allowance kibao , anamnunulia na gari , ametoa ajira Kwa watu Weng Sana Kwa kupambana kwake , msanii yeyte bongo atakayeshindanishwa na huyu mwamba inabd avuke alipopapafikia ambayo Kwa sasa ni impossible labda baada ya miaka 💯, konde boy ni mfano mzuri wa matunda ya huyu jamaa japo Hata robo hajamfikia....
 
Nakubaliana na hoja yako ,Musicians kama Binadamu kuna kipindi ubunifu unashuka kutokana na sababu nyingi.

Lakini hapo kwenye barakoa duh! Hahaha.
 
Back
Top Bottom