Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Wakina dangote wapo wengi sana duniani na huyu muekezaji was bingo hana atimiliki la jina dangoteUnapokaa mbele ya TV na kuutangazia umma kuwa wewe ni a.k.a Dangote ili hali Dangote halisi yupo, na kwamba Dangote ni brand name ya products za Dangote, basi wewe ni sawa na Huawei kujiita a.k a Sumsung. Sijui unaelewa?
Issue ni diamond na wala sio jina la dangote.mkuu wewe ni samaki wa aina gani..? Mfano uliotoa hauna mashiko kwa sababu diamond ni dangote wanafanya shughuli tofauti za kiuchmi...mbona darasa kwenye wimbo wa muziki amejipa aka ya mbwana samatta au kwa sababu ni diamond.....
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Acha ubishi usio na maana wewe... kampuni inaitwa Dangote Group na sio Dangote! Dangote ni jina sawa na Kikwete, Magufuli, Trump, Obama n.k!!!Nadhani wewe ndio unafikra ndogo kama pilton. Hivi haujui Dangote ni jina la kampuni brand name ya bidhaa, kwa hapa Tz Cement?
Ni sawa na leo hii Subaru ajiite a.k.a Toyota.
Ahsante Mrs Van...Issue ni diamond na wala sio jina la dangote.
Anaweza kujiita hata Aliko Dangote na bado hakuna kosa! Ingekuwa kuna walakini endapo angejiita Dangote Group kwa sababu hii ni registered companyhuyo anaitwa " Aliko Dangote" , na huyu wetu anajiita "chibu dangote" huoni kama kunautofauti?
nadhani ni fursa kwa chibu hii..inabidi aongee na management yake Ione ni jinsi kijana anaweza kuwa ambassador wa Dangote..sallam, tale fanyeni mambo..Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.
Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Sio Tanzania tu bali Africa kwa ujumla labda south AfricaNacho jiuliza kwanini wasanii maarufu wa Marekani wakija kutalii Tanzania huwa hawa post chochote kwenye social media zao?
Wasanii maarufu wa Marekani walisha upanda mlima kilimanjaro na kwenda kwenye mbuga za wanyama kwanini huwa hawapost hata picha?
Acha ku undermine other people's intelligence,ni mawazo yake na namna yake ya kufikiri tena inawezekana we ndo unauwezo mdogo wa kufikiriaUwezo wako wa kufikiria ni mdogo kupita kiasi...
Je,anayetumia jina la Dangote ni Aliko Dangote(Bilionea kutoka Nigeria) pekee..?
Au Dangote ni Surname ambayo inatumika na watu mbalimbali kutoka West Africa..?
Pia Dangote ni Surname au ni Jina la Kampuni..?
Majibu ya hayo maswali yatakusaidia sana kufuta UJINGA..!
Tupo wawili tu. Mimi. Na wewe.Ukisoma baadhi ya comment humu hupati tabu kuamini why hii nchi bado haina maendeleo
Dangote ni jina, na diamond katumia kama jina pia, kuna bidhaa yoyote ambayo diamond anauza kwa brand ya dangote? Hivi mbona mnashindwa kujiongeza? ni wapi ambapo Mondi katumia dangote kama brand? kwa hiyo na Mimi nikijiita dewji anaweza kunishtaki?Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Upatikanaji wa hayo majina uko tofauti, kwa case ya Diamond yeye alijiita on behalf of Dangote mwenyewe maarufu,hakufikiria jina tu as normal from any Dangote ambae hamfahamu au hakutafuta kwenye dictionary au Quran kama anavyoweza mtu kujiita mohammed bila kumaanisha mohammed trans au enterpriseKwa hiyo mohamed trans anatangaza biashara ya mohamed enterprises na wa kina mohamed woote maarufu wanatangaza bidhaa za mohamed enterprises bila malipo
Hivi naruhusiwa kujiita a.k.a SISIEMU