Diamond hakuwaza madhara ya kujiita Dangote

Mkuu, umenena vyema sana.
 
Dangote ni jina, na diamond katumia kama jina pia, kuna bidhaa yoyote ambayo diamond anauza kwa brand ya dangote? Hivi mbona mnashindwa kujiongeza? ni wapi ambapo Mondi katumia dangote kama brand? kwa hiyo na Mimi nikijiita dewji anaweza kunishtaki?
Kwa nini mnashindwa kutofautisha mambo?, kwa Mwanamuziki, jina lako ndio brand name yako, kwa mzalishaji, jina la bidhaa yako ndio brand name yako, kitendo cha Diamond kujiita Dangote, tayari ameji brand name, kwa jina la brand name ya bidhaa za Dangote halisi. Wake up fans, this is for the best.
 
Umechangia vyema sana mkuu. Wanashindwa kupokea ushauri kwa sababu wamefunikwa na ushabiki. Wangeweza kuutumia ushauri huu kumshawishi Diamond ageuze makosa ya awali kuwa nafasi ya biashara, I mean atumike kwenye matangazo ya Dangote halisi. Kwa sasa ana mpaisha bila hata senti tano.
 
Ningependa mnikumbushe vipaumbele vitatu vya bwana Mamvi wakati wa kampeni zake mwaka jana.
 
well kujiita hivyo ndio mwisho wa upeo wake wa kufikiri...Hajakosea hata kidogo.
 
Unapokaa mbele ya TV na kuutangazia umma kuwa wewe ni a.k.a Dangote ili hali Dangote halisi yupo, na kwamba Dangote ni brand name ya products za Dangote, basi wewe ni sawa na Huawei kujiita a.k a Sumsung. Sijui unaelewa?

hata hatukuelewi, diamond kujiita dangote huwez fananisha na huawei kujiita sumsung coz wanatengeneza one product different to diamond.....
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Hatashitaki kwann, mbona jina moja kuwa na watu wengi ni kawaida tu, mfano john, john Paul, john pombe , john Evans etc,
 
Hapo sasa ifike mahala ukweli tuukubali ushabiki pembeni
 
Hakuna tatizo ,kwani anauza jina au Brand ya Dangote? wapo wengine hawana uwezo wakumilika hata laki moja lakini
unasikia anaitwa Tyson,Samora,Mengi,Messi,wache wajidai na wao japo kwa majina..
 
mkuu mbona umeangalia upande mmjo tu wa dangote laiti kama angeshtaki jina lake kutumiwa hivi hivi, Vipi je kama diamond naye akishtaki kuwa huyu jamaa kaja Tanzania na kuiba jina na kufungua kiwanda kwa Nina lisilo lake na kweli mcheza.kwao hutuzwa huoni kama diamond atakuwa sahihi, koz dangote kaja Tanzania nvhi si yake na kawekeza kwa jina la linalotumiwa na watt wawili
 
Kuna ubaya gani kujiita dangote?? Kila binadamu ana matamanio ya "kuidolize" mtu anayekuvutia.. Ndio maana wengi tu wanajiita majina ya wengine

Nas Escobar

Rick Ross - Rick Ross halisi mwenyewe alikuwa Don wa madawa ya kulevya

Jay Z huwa wakati mwingine anajifananisha na Pablo (Pablo Picasso)

Chid Benz aliita crew yake La Familia - La familia ni genge la uhalifu huko mexico.

East Coast Team

Etc etc etc mifano iko mingi


Alafu Dangote sio official a.k.a ya Diamond.. Ni jina la utani ambalo watu wake wa karibu tulimpa kutokana na mafanikio yake (mtonyo).. Mwenyewe akalipenda na kuliandika instagram na twitter.. But yamebakia hapo tu na si zaidi
Ndio maana huwezi kuona kwenye TV ikapigwa nyimbo yake alafu ikaandikwa "Chibu Dangote"
 
Samahani lakini ila umeandika pumba sana, nani kakudanganya Dangote ni jina unique? Au tu unadhani ni unique?
na wala diamond hauzi bidhaa yake yoyote (mziki) kwa jina la Dangote bali ni Diamond platnumz, na mikataba yake official inaandikwa Nassibu Abdul A.K.A Diamond platnumz, what are you guys worrying!?
 
Pumba kwako na sio kwangu,unaweza andika tu unachofikiri ukaniacha na yangu ninayofikiri,kwanza unaload taratibu sana,huoni hapo nimetoa mfano,unafikiri cjui kama anaitwa na anatumia jina lake la Naseeb au unafikiri kama cjui anatumia jina La diamond platinumz,nobody is worrying I'm aint no one's fan,get things clear in next time
 
Au labda alilipwa na Dangote ili aje amsafishie njia kabla mwenyewe kuja kuwekeza
 
Au labda alilipwa na Dangote ili aje amsafishie njia kabla mwenyewe kuja kuwekeza
 
Tena acheni kumsumbua diamond
 
Mshamba tu huyo Mshikaji Wwe huoni ana achama mdomo watu waone meno yake kama sio mshamba tu mtto wambagala ni wambagala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…