The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Dangote halisi ndio ana advantage kuliko dangote copy.Hapana napingana nawe, hakuna mwenye hatimiliki na jina na hao ni watu wawili tofauti kabisa
1. Alhaj Aliko Dangote (halisi)
2.Diamond/Naseeb aka Dangote (nakala)
Wote hawa wawili wanafaidika
Dangote halisi jina lake linatangazwa bure na mtu maarufu kitaifa na kimataifa
Diamond Dangote anafaidika kwa kujinasibu kijina na mtu ambaye ni tajiri no moja Afrika
Team Kiba buana..!!!!!Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.
Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Wenzetu wanajitambuaNacho jiuliza kwanini wasanii maarufu wa Marekani wakija kutalii Tanzania huwa hawa post chochote kwenye social media zao?
Wasanii maarufu wa Marekani walisha upanda mlima kilimanjaro na kwenda kwenye mbuga za wanyama kwanini huwa hawapost hata picha?
Sheria za kimataifa za majina hazimbaniDiamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.
Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Anajifanyaga afanyi kazi bure mbona anamtangaza dangote bila hata kupewa mia?na huyo dangote akiamua kumshitaki kwa kutumia jina lake bila idhini yake si ataenda kuwake wa watu huyo?Alijiita Dangote Baada ya jamaa kuingia bongo kuanza kuwekeza na amekua free ambassador up to now
Wewe na wanaokuunga mkono wote villazahuyo anaitwa " Aliko Dangote" , na huyu wetu anajiita "chibu dangote" huoni kama kunautofauti?
Mkuu unabishana na watu wasiojua nini maana ya brand,watakuumiza kichwa wao wanajua dangote ni kama majina ya huko vijijini kwaoNadhani wewe ndio unafikra ndogo kama pilton. Hivi haujui Dangote ni jina la kampuni brand name ya bidhaa, kwa hapa Tz Cement?
Ni sawa na leo hii Subaru ajiite a.k.a Toyota.
Tunaweza je kuprove hio,sababu hatujawahi sikia any connection baina ya wawili haoAlijiita Dangote Baada ya jamaa kuingia bongo kuanza kuwekeza na amekua free ambassador up to now
Inawezekana kupitia intellectual property lawVipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Messi ni worldwide name,dangote watu wengi walijua ni diamondnyie watu fanyeni kazi acheni kujaribu kuingilia vitu visivyo vya msingi.....diamond kujiita dangote na mtu mwingine kujiita messi kuna tofauti gani,? Na huyo messi akija kuinvest hapa bongo anapata athari gani huyo anayejiita messi??acheni kujadili vitu vyepesi visivo hata na mashiko....
Hawezi kumshtaki maana hakuna Dangote mmoja hapa duniani...Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.