Diamond hakuwaza madhara ya kujiita Dangote

Diamond hakuwaza madhara ya kujiita Dangote

Hapana napingana nawe, hakuna mwenye hatimiliki na jina na hao ni watu wawili tofauti kabisa
1. Alhaj Aliko Dangote (halisi)
2.Diamond/Naseeb aka Dangote (nakala)
Wote hawa wawili wanafaidika
Dangote halisi jina lake linatangazwa bure na mtu maarufu kitaifa na kimataifa
Diamond Dangote anafaidika kwa kujinasibu kijina na mtu ambaye ni tajiri no moja Afrika
Dangote halisi ndio ana advantage kuliko dangote copy.
 
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Team Kiba buana..!!!!!

hiyo nayo ni KOKORO..
 
diamond anaruhusiwa kutumia hilo jina hila hawezi kulisajili km jina la kampuni sababu tayari limeshasajiliwa kwahyo hawezi kulitumia kwenye mambo ya biashara.
 
Nacho jiuliza kwanini wasanii maarufu wa Marekani wakija kutalii Tanzania huwa hawa post chochote kwenye social media zao?

Wasanii maarufu wa Marekani walisha upanda mlima kilimanjaro na kwenda kwenye mbuga za wanyama kwanini huwa hawapost hata picha?
Wenzetu wanajitambua
 
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Sheria za kimataifa za majina hazimbani
 
Mbona kuna faru marehemu aliitwa John na kuna Rais wa nchi pia anaitwa John...huyu Rais hakufikiria madhara ya kujiita jina la faru?
 
Alijiita Dangote Baada ya jamaa kuingia bongo kuanza kuwekeza na amekua free ambassador up to now
Anajifanyaga afanyi kazi bure mbona anamtangaza dangote bila hata kupewa mia?na huyo dangote akiamua kumshitaki kwa kutumia jina lake bila idhini yake si ataenda kuwake wa watu huyo?
 
Nadhani wewe ndio unafikra ndogo kama pilton. Hivi haujui Dangote ni jina la kampuni brand name ya bidhaa, kwa hapa Tz Cement?

Ni sawa na leo hii Subaru ajiite a.k.a Toyota.
Mkuu unabishana na watu wasiojua nini maana ya brand,watakuumiza kichwa wao wanajua dangote ni kama majina ya huko vijijini kwao
 
Punguani huyo mtu mmoja majina kibao mara Diamond mara plantnum sijui chibu mara dangote yeye huyo huyo Simba wakati mwingine Rais wa waSafi jina lake halisi la Kwa mtogole mbona hajiiti Nasibu Ndomo
 
nyie watu fanyeni kazi acheni kujaribu kuingilia vitu visivyo vya msingi.....diamond kujiita dangote na mtu mwingine kujiita messi kuna tofauti gani,? Na huyo messi akija kuinvest hapa bongo anapata athari gani huyo anayejiita messi??acheni kujadili vitu vyepesi visivo hata na mashiko....
Messi ni worldwide name,dangote watu wengi walijua ni diamond
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Hawezi kumshtaki maana hakuna Dangote mmoja hapa duniani...

Issue hapa ni hiyo kumtangazia bidhaa zake bila ya kulipwa.
 
Back
Top Bottom