Diamond hakuwaza madhara ya kujiita Dangote

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
 
Alijiita Dangote Baada ya jamaa kuingia bongo kuanza kuwekeza na amekua free ambassador up to now
Ni official hii Mkuu? Hebu fafanua. Maana nijuavyo mimi balozi (Ambassador) wa issue kama hizi huwa anasaini mkataba. Mfano Alikiba ni Balozi wa Wildlife (Tembo) na anamkataba.
 
Anyway, hata kama kaamua kumpa ofa ya kumtangazia biashara yake, hakijaaribika kitu ofcoz ni mwafrika mwenzake, then pia ni influence & encourage
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
 
Nacho jiuliza kwanini wasanii maarufu wa Marekani wakija kutalii Tanzania huwa hawa post chochote kwenye social media zao?

Wasanii maarufu wa Marekani walisha upanda mlima kilimanjaro na kwenda kwenye mbuga za wanyama kwanini huwa hawapost hata picha?

Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.

Hii kali kama kiroba.kwani umewahi kuona nyaraka za diamond zimeandikwa majina gani ambazo ni officiall???.BASI tuseme huko mbali sana je nyimbo zake zimeandikwa majina gani???.
 
nyie watu fanyeni kazi acheni kujaribu kuingilia vitu visivyo vya msingi.....diamond kujiita dangote na mtu mwingine kujiita messi kuna tofauti gani,? Na huyo messi akija kuinvest hapa bongo anapata athari gani huyo anayejiita messi??acheni kujadili vitu vyepesi visivo hata na mashiko....
 
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Hapana napingana nawe, hakuna mwenye hatimiliki na jina na hao ni watu wawili tofauti kabisa
1. Alhaj Aliko Dangote (halisi)
2.Diamond/Naseeb aka Dangote (nakala)
Wote hawa wawili wanafaidika
Dangote halisi jina lake linatangazwa bure na mtu maarufu kitaifa na kimataifa
Diamond Dangote anafaidika kwa kujinasibu kijina na mtu ambaye ni tajiri no moja Afrika
 
KuJinasibu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hii kali kama kiroba.kwani umewahi kuona nyaraka za diamond zimeandikwa majina gani ambazo ni officiall???.BASI tuseme huko mbali sana je nyimbo zake zimeandikwa majina gani???.
Unapokaa mbele ya TV na kuutangazia umma kuwa wewe ni a.k.a Dangote ili hali Dangote halisi yupo, na kwamba Dangote ni brand name ya products za Dangote, basi wewe ni sawa na Huawei kujiita a.k a Sumsung. Sijui unaelewa?
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo kupita kiasi...
Je,anayetumia jina la Dangote ni Aliko Dangote(Bilionea kutoka Nigeria) pekee..?
Au Dangote ni Surname ambayo inatumika na watu mbalimbali kutoka West Africa..?
Pia Dangote ni Surname au ni Jina la Kampuni..?
Majibu ya hayo maswali yatakusaidia sana kufuta UJINGA..!
 
Ni bora kaamua kujiita jina la Mwafrika mwenzie kuliko kama angetumia la Mzungu....
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
ndg, mimi simpendagi diamond ila kwa hili nazani diamond atashinda tu kesi, kwani uyo dangote harisi ana hati miliki na hilo jina?, mf; mimi nikiamua tu kujiita juma au john ni kosa kisheria?, yeye alijiita dangote tu ila nyinyi ndo mlimfananisha na huyo original dangote so km dangote Harisi akifungua kesi domo atashinda kiurahis tu
 
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo kupita kiasi...
Je,anayetumia jina la Dangote ni Aliko Dangote(Bilionea kutoka Nigeria) pekee..?
Au Dangote ni Surname ambayo inatumika na watu mbalimbali kutoka West Africa..?
Pia Dangote ni Surname au ni Jina la Kampuni..?
Majibu ya hayo maswali yatakusaidia sana kufuta UJINGA..!
Nadhani wewe ndio unafikra ndogo kama pilton. Hivi haujui Dangote ni jina la kampuni brand name ya bidhaa, kwa hapa Tz Cement?

Ni sawa na leo hii Subaru ajiite a.k.a Toyota.
 
Back
Top Bottom