Diamond hakuwaza madhara ya kujiita Dangote

Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Mtu yeyote anaweza kuitwa Dangote kama ilivyo kwa George, Obama, Donald, Kennedy etc.
 
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
Kwa hiyo mohamed trans anatangaza biashara ya mohamed enterprises na wa kina mohamed woote maarufu wanatangaza bidhaa za mohamed enterprises bila malipo
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.
Hahahah.... Mwana Dangote ni jina tu kama majina mengine, Kosa ni kutumia logo au jina Aliko Dangote,
so wapo manyang'au kibao tu wanaoitwa Dangote, so dont gerra twisted
 
Vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond?
Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Ricky Ross alijiita vile kwa sababu ya kiongozi mmoja wa kundi la mamafia. Kipindi chote Ricky Ross halisi alikuwa gerezani, alipotoka akaamua kushtaki na kudai fidia. Mahakama ikaamua kuwa jina kama sio Registered Trade Mark basi mtu yoyote anaweza kulitumia. Na hizi a.k.a hazina tatizo lolote, nafikiri hata ukijiita a.k.a Cocacola jamaa watachukulia poa Tu kwasababu sio Official.
 
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni kwamba alilitangaza na analitangaza jina hilo pamoja na bidhaa zake, ambapo kwa Tanzania ni Cement, bila hata ya kulipwa chochote.

Au vipi kama Dangote halisi akaamua kushtaki kwa jina lake kutumiwa na Diamond? Kwa sababu kidunia, Dangote halisi ni maarufu kuliko Diamond.

Chonde chonde wasanii na Wanamichezo wetu, achaneni na nick names zenye Vitambulisho vya watu hai.
kwa hiyo unataka kutwambia kwamba dunia nzima mtu anayeitwa dangote ni huyo mwekezaji tu?
 
hakukurupuka mzee... huwa kuna kitu anafaidika na naskia mwanawe anapata kasma flan tokaa kwa aliko... muacheni tu ajiite.. pesa inaongea
 
Hapana napingana nawe, hakuna mwenye hatimiliki na jina na hao ni watu wawili tofauti kabisa
1. Alhaj Aliko Dangote (halisi)
2.Diamond/Naseeb aka Dangote (nakala)
Wote hawa wawili wanafaidika
Dangote halisi jina lake linatangazwa bure na mtu maarufu kitaifa na kimataifa
Diamond Dangote anafaidika kwa kujinasibu kijina na mtu ambaye ni tajiri no moja Afrika

Kaka, watu wanashindwa kujua kuwa majina ni baraka, Abraham, alibadirishwa jina kiwa Ibrahim ili apewe baraka, asilimia kibwa tunapewa majina na Baba zetu aidha majina ya mababu/Mabibi, mashangazi nk
Lakini mtu anapokuwa anakuwa na shaukumya kujibadirisha jina aidha kwa kupewa na watu au kuitikia "wito " unaoupata

Wapo wengi Tanzania kwa nini mtoa mada anamzungumzia Diamond tu?
Ramadhani Singano- Messi
Nadir Haroub- Canavaro
Chombo- Redondo
Abeid Ayew- Pele
Nk nk nk
 
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo kupita kiasi...
Je,anayetumia jina la Dangote ni Aliko Dangote(Bilionea kutoka Nigeria) pekee..?
Au Dangote ni Surname ambayo inatumika na watu mbalimbali kutoka West Africa..?
Pia Dangote ni Surname au ni Jina la Kampuni..?
Majibu ya hayo maswali yatakusaidia sana kufuta UJINGA..!
Swali jina LA kiwanda ni lipi?

Brand name ya cement hiyo ni lipi?

Kibiashara jina lina maana kubwa. Hata kama ni jina la ukoo linasajiliwa na mtu mwingine hawezi kulitumia kwa biashara inayofanana na iliyosajiliwa. Naweza kimwelewa diamond kama njia ya kujipromote lakini lazima akutane na positive na negatiive effects. Hii hoja so nyepesi kama baadhi wanavyosema. Mtu kama dangote hawezi mkumshtaki diamond kibiashara anapata free air.
 
Ricky Ross alijiita vile kwa sababu ya kiongozi mmoja wa kundi la mamafia. Kipindi chote Ricky Ross halisi alikuwa gerezani, alipotoka akaamua kushtaki na kudai fidia. Mahakama ikaamua kuwa jina kama sio Registered Trade Mark basi mtu yoyote anaweza kulitumia. Na hizi a.k.a hazina tatizo lolote, nafikiri hata ukijiita a.k.a Cocacola jamaa watachukulia poa Tu kwasababu sio Official.
Kumbuka Dangote ni jina la kampuni iliyosajiriwa Tanzania, na brand na ni brand name ya bidhaa ya Cement inayozalishwa na kampuni hiyo ya Dangote.
 
Nadhani wewe ndio unafikra ndogo kama pilton. Hivi haujui Dangote ni jina la kampuni brand name ya bidhaa, kwa hapa Tz Cement?

Ni sawa na leo hii Subaru ajiite a.k.a Toyota.
Kijana...
Aliko Dangote sio exclusive owner wa jina la Dangote..!
Akina Dangote wako wengi tu huko West Africa...
Dangote ni jina kama majina mengine...
Hata wewe unaweza muita mtoto wako Dangote..!
Kosa ni kutumia jina la DANGOTE GROUP kibiashara...
Coz hilo ndio jina la kampuni ya Aliko Dangote..!
 
Hivi tukimweka Dangote OG uwanjani watu wakamsikilize tu anachoongea for free. Na tukimweka Copy alaf kumsikiliza iwe 10000, we unahisi ngote yupi atajaza umati!! [emoji12] [emoji12] maisha hayako fair!
 
Kijana...
Aliko Dangote sio exclusive owner wa jina la Dangote..!
Akina Dangote wako wengi tu huko West Africa...
Dangote ni jina kama majina mengine...
Hata wewe unaweza muita mtoto wako Dangote..!
Diamond ni mfanya biasha na dangote ni mfanya biashara diamond anatangaza biashara ya dangote bila malipo!

Nikulize ulisha wahi kuona Regnald Mengi anajiita Bahkresa?

au ulisha wahi kuskia EAradio wanapiga promo fiesta ya clouds?
 
Swali jina LA kiwanda ni lipi?

Brand name ya cement hiyo ni lipi?

Kibiashara jina lina maana kubwa. Hata kama ni jina la ukoo linasajiliwa na mtu mwingine hawezi kulitumia kwa biashara inayofanana na iliyosajiliwa. Naweza kimwelewa diamond kama njia ya kujipromote lakini lazima akutane na positive na negatiive effects. Hii hoja so nyepesi kama baadhi wanavyosema. Mtu kama dangote hawezi mkumshtaki diamond kibiashara anapata free air.
Mkuu umechangia vizuri sana, watu wanachangia kishabiki humu hawaangalii implications za kuiga jina la Kampuni ya Mtu na brand name ya bidhaa zake.
 
Unapokaa mbele ya TV na kuutangazia umma kuwa wewe ni a.k.a Dangote ili hali Dangote halisi yupo, na kwamba Dangote ni brand name ya products za Dangote, basi wewe ni sawa na Huawei kujiita a.k a Sumsung. Sijui unaelewa?
mkuu wewe ni samaki wa aina gani..? Mfano uliotoa hauna mashiko kwa sababu diamond ni dangote wanafanya shughuli tofauti za kiuchmi...mbona darasa kwenye wimbo wa muziki amejipa aka ya mbwana samatta au kwa sababu ni diamond.....
 
Kijana...
Aliko Dangote sio exclusive owner wa jina la Dangote..!
Akina Dangote wako wengi tu huko West Africa...
Dangote ni jina kama majina mengine...
Hata wewe unaweza muita mtoto wako Dangote..!
Kosa ni kutumia jina la DANGOTE GROUP kibiashara...
Coz hilo ndio jina la kampuni ya Aliko Dangote..!
Kumbuka Diamond analitumia jina la Dangote kujitangaza kibiashara ya Music.
 
Back
Top Bottom