Diamond hana washauri?

Uislam kazii
 

umeongea point sana, mama yake ameangaika kumlea kwa kuua vitumbua na ntilie sasa dimond ametoka baba ndio anajileta waati enzi zake alikua anauzA NYUMBA ZAO KARIAKOO ANATUMIA HELA ZOTE BILA YA KUTAMBUA KUA ANA MTOTO ANAITWA NASEEB, jamani muacheni diamond mpaka roho yake itakapoamua kumsaidia huyo baba inauma jamani acheni tu, huyo baba aliisi dimnd hatokuja kukua aliona muda hauendi
,
 
Mkuu mbona unashangaza kwani ni lazma kila mtu awe swaumu hiki kipindi "
 
"lakini nina haki ya kutoa maoni yangu hasa kumsaidia pia diamond ajitambue." kwa kauli hiyo ni wazi umemhukumu kuwa ajitambui
acha kujifanya umezoea kizungu hvi ni kweli maoni=hukumu au ndo utazuga swaumu imekaza.
 
wewe umepata malezi ya baba
wengine hatujapata
tunaona sawa tu, huwezi kumuonea uchungu mtu ambae hujui uchungu wake....
haiwezekani.. cjui nyie mliopata malezi nao
Like father like son,diamond nae ana roho kama ya baba yake wote wana roho mbaya
 
wewe umepata malezi ya baba
wengine hatujapata
tunaona sawa tu, huwezi kumuonea uchungu mtu ambae hujui uchungu wake....
haiwezekani.. cjui nyie mliopata malezi nao
basi asingetumia hata jina lake maana anasidia watu baki basi amsaidie nae kama mtu baki isitoshe pia ugom,vi wa wazazi si wakuingilia inaonekana dimond anaambiwa yote na mama yake wengi tu hawakulelewa na baba zao lakini wanawasaidia kwani mwenye kuhukumu ni mungu
 

What should I say here!! Umemaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…