Diamond hana washauri?

Kwa hiyo unaunga mkono ubaya Kwa ubaya?
Huwa kuna sababu mbili tuu kwa kila mambo yanayo tutokea kwenye maisha!

Inaweza kuwa funzo kwetu.
Au ni baraka kwetu!

Kwa yanayo mkuta Baba diamond ni funzo kwake na kwa wengine!
 
Huyu Dingi si wa kuhurumia hata kidogo.....Diamond angekuwa si lolote wala asingewahi kujitokeza.

Kwa kuwa ameshakuwa na urafiki na jamaa wa Global....wampe nafasi ukurasa wa mbele...wawe wanaweka picha yake kubwa kwenye kila toleo, wakiambatisha na maneno "jamani kina baba mjifunze kupitia mimi....wapeni malezi stahiki Watoto wenu"
 
Acha kumsakama mwenzio kwan Dini inalazimisha kusamehe au inashauri,Alafu wanaume mkishavurugaga tu Mnakimbilia dini kwann msijenge msingi tangu zamani? Mimi mwanangu akitelekezwa then aje kuwa Billionea then baba yake akajileta leta wallah akimsaidia ntamuachia Ladhi maana mtoto Mzuri mwenye mafanikio hapatikan kwa sperm zako ulizoziacha zikielea Mtoto mwenye Mafanikio hutengenezwa kwaiyo msitumie Dini kama omo ya kusafisha machafu ya wababa Design ya Diamond
 
Ata mm nilikuwa namlaumu sana diamond ila baadaye ya kusikia history ya maisha yake nilimuona yupo sahihi kwasababu huyo baba alimkataa,akiwa mimba akiwa mtt mdogo akiwa mtu mzima amekuja mkubali eti baada ya mafanikio tu
 
hukiwa na pesa uwezi kukemewa kwanza kama mtoto wa kiislamu umezaa bila kuoa lakini hakuna mtu yoyote anaye ongea wala kushangaa na mara pili hivo hivo,hivi unazani angekuwa kapuku mama yake angekubali tabia hiyo,mfano dk shika leo ndugu wana mtaka wamchalaze viboko ajawahi kufika nyumbani na wamemtenga ,je dk shika ndo utajiri huo unazani kuna mtu hata sema tena.tafuta pesa ujue nini maana ya kuwa mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…