Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
mama duamond alizaliwa ndani ya ndoa basi anao wajibu kidini kumuangalia baba yake bt kama ni mwanaharamu(mtoto wa njee ya ndoa) basi mzee hana haki n haki inabakia kwa mama tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe ungeamua kufikiri basi ungeiona mantiki ya muuliza swali! Je, mtoto ni Diamond peke yake? Jibu HAPANA... mwingine anayefahamika ni Queen Darleen! Je; Queen Darleen anamsaidia baba ake? Kama ndiyo ni kwanini hatumuoni Mzee Abdul akitumia magazeti ya udaku kama kawaida yake akionesha kumshukuru mwanae?! Au nae hamsaidii?! Kama nae hamsaidii ni kwanini hatuoni magazeti ya Shigongo yakiandika habari za Queen Darleen kutomsaidia baba ake?!Fikiri tena, ukimaliza kufiri nakuomba ufikiri tena, nasema rudia tena kufiri, nakutaka ufikiri zaidi ya kufiri ulikofikiri,
Maneno yote aliyoyaandika mleta post hapo na kumuongoza mwenzako hasa kwa maandiko ya ki Imani ya DINI yake bado unafikiri hovyo hivyo ?
Kama umeshundwa kufikiri kwa muda huu pumzika na unywe maji maana hata swaumu...huna,
Na ukishindwa kufiri tafuta mtu akusaidie kufikiri ili ukiri kwamba ulikariri bila kufiri.
yani mm sielewi maana yao ni nini hasa!binafsi. nikisikia baba huwa hata sishtuki kabisa, sijui wengine.
Huyu mzee sijawai kumuonea huruma anacho udhi zaidi ni kutumika kumdhalilisha Diamond.Almost kila mtu anaweza kuwa baba lakini sio watu wengi wanaweza kuwa wazazi. muhimu sana ni kuwa mzazi sio upande mbegu then utokomee
hakuna dhambi yoyote hapo, mzazi ana wajibu kumlea na kumtunza mwanawe sasa kama kakataa , kwann yy atunzweMnao mlaumu Diamond hamjapitia aliopitia ,ndio sio vizuri anavofanya but muacheni mungu ndie hakimu nyie wenyewe mna dhambi ngapi ambazo hatuzijui
Fanyeni yenu waachieni mambo yao ya kifamilia
Wanaume ishini vizuri na wapendeni watoto wenu huwezi jua atakua nani baadae
Hata km umeachana na mama ake be there kwa ajili ya mtoto wako
Ndo kinachomtesa sasa hv baba Diamond anatafuta simphathy kwenye social media
{وَقَضَى رَبُّكَ أَلاَّ تَعْبُدُواْ إِلاَّ إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً إِمَّا يَبْلُغَنَّ عِندَكَ الْكِبَرَ أَحَدُهُمَا أَوْ كِلاَهُمَا فَلاَ تَقُل لَّهُمَا أُفٍّ وَلاَ تَنْهَرْهُمَا وَقُل لَّهُمَا قَوْلاً كَرِيماً* وَاخْفِضْ لَهُمَا جَنَاحَ الذُّلِّ مِنَ الرَّحْمَةِ وَقُل رَّبِّ ارْحَمْهُمَا كَمَا رَبَّيَانِي صَغِيراً}
وَوَصَّيْنَا الْإِنسَانَ بِوَالِدَيْهِ إِحْسَاناً
وَقَضَى رَبُّكَ أَلاَّ تَعْبُدُواْ إِلاَّ إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً
وَاعْبُدُواْ اللّهَ وَلاَ تُشْرِكُواْ بِهِ شَيْئاً وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً
برهما وحفظهما وصيانتهما وامتثال أوامرهما
باب تقديم بر الوالدين على التطوع بالصلاة وغيرها
Usituletee ujinga hapa, kwamba uislam ni dhaifu kiasi hiki, kwamba mwenye wajibu ni mtoto kwa Baba lakini Baba hawajibiki kwa lolote kwa mtoto ?????Katika hili la mzazi wake wa kiume mimi binafsi limenigusa hasa kwa imani yangu ya dini. Siwezi kuhukumu moja kwa moja kwa maana sijui chanzo cha ugomvi wao wala status yao kwa sasa na pia MIMI SI HAKIMU, lakini nina haki ya kutoa maoni yangu hasa kumsaidia pia diamond ajitambue.
Katika hali ya kawaidia inatakiwa ingekuwa rahisi kama mzazi wako anapata msaada wako by then kila siku awe analalamika au tunamuona kwenye mitandao huo tayar ni udhaifu wako wewe mtoto kwa kuruhusu mzazi wako awe anakutia aibu wewe au familia yenu kwa ujumla. Kwa namna yoyote ni lazima suala la wazazi wako ukalipa umuhimu mkubwa sana katika maisha yako.
Katika mafundisho ya dini yanatufunza nini kuhusu wazazi?
Hakika ametakasika yule ambaye amewajibisha na kuamrisha wema na kutimiza haqqi na kuiegemeza kwa kila anaestahiki na akawajibisha haki kwa wazazi wawili, na ikawa ni amri iliyoenea kwa walimwengu wote. Hakika ameamrisha ALLAH tabaaraka wata’la katika aya nyingi kuwafanyia wema na ihsani wazazi wawili.
Mfano wa kauli yake aliposema:
{وَقَضَى رَبُّكَ أَلاَّ تَعْبُدُواْ إِلاَّ إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً إِمَّا يَبْلُغَنَّ عِندَكَ الْكِبَرَ أَحَدُهُمَا أَوْ كِلاَهُمَا فَلاَ تَقُل لَّهُمَا أُفٍّ وَلاَ تَنْهَرْهُمَا وَقُل لَّهُمَا قَوْلاً كَرِيماً* وَاخْفِضْ لَهُمَا جَنَاحَ الذُّلِّ مِنَ الرَّحْمَةِ وَقُل رَّبِّ ارْحَمْهُمَا كَمَا رَبَّيَانِي صَغِيراً}
Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa hishima. Na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. Na useme: Mola wangu Mlezi! Warehemu kama walivyo nilea utotoni.
Akaamrisha ALLAH tabaaraka wata’la ihsani kwa wazazi wawili katika namna zote za wema, nao ni katika kauli [unapozungumza nao] pale aliposema [basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa hishima]. Vivyo hivyo kuwafanyia wema katika matendo; kimwili na kimali kwa kauli yake aliposema: (Na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma).
Na akanyanyua ubora wanapofika katika hali ya uzee, kisha akakataza kuwavunjia adabu na kuwatusi, achilia mbali kuwaacha wakiteseka.
UWAJIBU WA KUWAFANYIA WEMA WAZAZI WAWILI.
Hakika ameamrisha Allah tabaaraka wata’la, na akawajibisha kwa njia ya wasia kuwafanyia wema wazazi wawili katika aya nyingi za qur’an. Pale ilipokuja amri ya wazi juu ya kuwatii, aliposema:
وَوَصَّيْنَا الْإِنسَانَ بِوَالِدَيْهِ إِحْسَاناً
Na tumemuusia mwanadamu awatendee wema wazazi wake wawili[1]
Ikaonesha wazi kuwa kuwafanyia wema wazazi wawili ni jambo la wajibu kwa kuwa ni wasia wa Allah kwetu. Bali akaliambatanisha jambo hilo la kuwafanyia wema wazazi wawili na twaa’ yake Allah tabaaraka wata’la pale aliposema:
وَقَضَى رَبُّكَ أَلاَّ تَعْبُدُواْ إِلاَّ إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً
Na mola wako mlezi ameamrisha kuwa msimuabudie yeyote isipokuwa yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema.[2]
Na kauli yake aliposema:
وَاعْبُدُواْ اللّهَ وَلاَ تُشْرِكُواْ بِهِ شَيْئاً وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً
Na mwabudieni Allah wala msimshirikishe na chochote, na muwafanyie wema wazazi wawili.[3]
Zikakusanya aya mbili hizi kuwa kufanyiwa wema wazazi wawili ni haqqi yao, bali akaifafanya haki hiyo kuwa ni ya pili baada ya tawheed yake Allah tabaaraka wata’la akionesha ukubwa wa jambo hilo [la kuwafanyia wema].
Amesema Al qurtwubiy [Allah amrehemu], kauli ya Allah “Na wazazi wawili kuwafanyia wema [ihsani]” maana yake ni:
برهما وحفظهما وصيانتهما وامتثال أوامرهما
Kuwafanyia wema na kuwahifadhi, kuwatunza na kutekeleza amri zao.
Katika kulisisitiza hilo, mpaka ikawa [wema kwa wazazi wawili] ni wenye kutangulizwa mbele hata kabla ya Sunnah za kujitolea kama vile Sunnah za kabla ya swala nk. Na kwa hili akaweka imamu muslim [Allah amrehemu] mlango katika swahih yake akiuita:
باب تقديم بر الوالدين على التطوع بالصلاة وغيرها
By the way mimi nimekubusha tu. Kama ni kweli mzazi hapati msaada basi ajitahidi kumsamehe, kama anapata msaada ila ndio umaarufu basi diamond anisemehe maana binadamu tumeumbwa kukusea. Na huu ni mwezi wa toba hakika atakuwa amenisamehe.
Asante.
Hajui chochote kuhusu dini kajiandikia tu,kwanza kwa mujibu wa hiyo dini yake mtoto wa haramu (nje ya ndoa ) hawajibiki kwa lolote kwa Baba,angalau angeongelea kibinadamu angekuwa na pointi si dini. Mtoto wa haramu ni mali ya mama kwa mujibu wa hiyo dini yake na mtoto hapati dhawabu (malipo kwa mungu) kwa kumuhudumia huyo Baba, na hapati dhambi kwa kutomuhudumia. ( KUMBUKA MAMA DIAMOND NA HUYO BABA HAWAKUWA WAMEOANA)Mimi nimeanza kupata wasiwasi kuona Al Qaeda wameingia humu JF, jamani tujihadhari sasa!
Hapo sasahakuna dhambi yoyote hapo, mzazi ana wajibu kumlea na kumtunza mwanawe sasa kama kakataa , kwann yy atunzwe
hao glabal ndio maana misambano aliwachapagaHapo sasa
Anawabeba global wampige picha anafikiri ndo itamsaidia