Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Anaeota pembe muongezee mkia,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa mwananyamala mna kazi sana ivi umeelewa alichosema Darasa?Kila mtu lazima atafute kiki kwa diamond, kweli unga wa ndele alioogea huyu kijana unafanya kazi
Binadamu wanlizuia kabla halijaripuka mkuu!Basi ajiite bomu la nuclear , likilipuka,Binamu hawezi kuliangamiza kabla halijammaliza .
ngoja tuone mwisho itakuwaje manake wimbo mmoja umehiti sana basi imekuwa nongwa.
angalieni tusimpoteze kibakuli. mana comparison mmeiamishia kwa darasa
Ndio inaitwa akili kubwa,anapiga mashabiki wa diamond,anapiga mashabiki wa Kiba akijumlisha na wakwake na kuokoteza basi yuleeeeeee!umeona eeeh.! Darasa nae kaamua kujisogeza kwa Diamond kiana. angalau tuu amzungumze Diamond nae asfishe nyota.
Duh.! Mondi kweli kaishika bongofleva. wacha tuone what the future holds for him.
Kama wanavyom-control nani kwa mfano?!Watamuingiza wasafi sasa hivi....ili wamcontrol kwa sababu anakuja kwa kasi ya treni.
Naomba wimbo wake wa pili tafadhali! wa kumsifia hapo naona ni producer kwani kilichouinua huo wimbio ni beats si kingine!Watamuingiza wasafi sasa hivi....ili wamcontrol kwa sababu anakuja kwa kasi ya treni.