Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako.
But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.
Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu.
Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
em kwanza...tuseme ni kweli mtoto sio wake.. Then what?
basi aache kuwapa airtimeYap ni kweli, but akiwajibu ataumia zaidi maana mijitu huko insta haina kazi, hapo ndo anawapa nafasi ya kumuumiza zaidi
Unajua population ya Nigeria?kumbe Nigeria ndo kila kitu ukijulikana kule we ni super worldwide, another input hii
Acha upuuzi wa mambo ya chama, nilkuona una maana kumbe huna kitu. Hufahamu kuwa nchi hii ni ya kidemocrasia kuwa kila mtu anahaki ya kufanya chochote kile na kumpenda chochote kile ili mradi asivunje sheria. Sasa wewe unataka kila mtu apende unachgotaka wewe, haiwezekani ndio maana lazima tufike mahali tukabali kutokukubalina na heshim matakwa na mapenzi yetu. Wewe mpende Diamond kwa kazi nzuri anayofanya acha ulimbukeni wa kumchukia kwa kuwa anapenda CCM, mbona wewe unapenda CHADEMA na LOWASSA kwani hujui kama Lowassa kabala ya kuingia huko kwenu hata wewe katika nafsi yako ulikuwa ukiamini kuwa na Mwizi na chama chako kwa miaka manane kimekuwa kikipiga propaganda ya kuwa ni fisadi leo hii mmemkumbatia mkiulizwa mnatoa very cheap reason kwamba kama ni fisadi kwa nini msimshitaki, that is childish and you know from your heart that is childish still you keep embracing it.Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako.
But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.
Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu.
Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
CCM wameiimbia akina King Kiki, Max Bushoke na wahuni kibao wa maana... Na hamjawahi kusema hilo ni tatizo! CCM ni mpango wa Mungu...Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako. But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.
Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu. Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
CCM wameiimbia akina King Kiki, Max Bushoke na wahuni kibao wa maana... Na hamjawahi kusema hilo ni tatizo! CCM ni mpango wa Mungu...
umeandika pumba tu nyumbu weweAcha upuuzi wewe
Acha upuuzi wa mambo ya chama, nilkuona una maana kumbe huna kitu. Hufahamu kuwa nchi hii ni ya kidemocrasia kuwa kila mtu anahaki ya kufanya chochote kile na kumpenda chochote kile ili mradi asivunje sheria. Sasa wewe unataka kila mtu apende unachgotaka wewe, haiwezekani ndio maana lazima tufike mahali tukabali kutokukubalina na heshim matakwa na mapenzi yetu. Wewe mpende Diamond kwa kazi nzuri anayofanya acha ulimbukeni wa kumchukia kwa kuwa anapenda CCM, mbona wewe unapenda CHADEMA na LOWASSA kwani hujui kama Lowassa kabala ya kuingia huko kwenu hata wewe katika nafsi yako ulikuwa ukiamini kuwa na Mwizi na chama chako kwa miaka manane kimekuwa kikipiga propaganda ya kuwa ni fisadi leo hii mmemkumbatia mkiulizwa mnatoa very cheap reason kwamba kama ni fisadi kwa nini msimshitaki, that is childish and you know from your heart that is childish still you keep embracing it.
Hahahahaaa shemeji yangu katika ubora wake.umeandika pumba tu nyumbu wewe