Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

Hajitambui huyoo limbukeni, hata niffah anafaham.....
 
Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako.

But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.

Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu.

Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
 
Attachments

  • tiffa.jpg
    tiffa.jpg
    2.4 KB · Views: 49
Vijisenti vimekwisha ninarudi Tandalee..

Nimeshindwa lipa bima nimeuza madalee...

Nyimbo redio imezima TV ndo hatareee.....

Meneja umebaki jina nitakie Tataleee.....
 
haina maana kama mtoto ana mkwanja na kiki wakati sio wa kwako....
 
Family comes first before anything else...

Kwa sasa Diamond ushawapa somo, usiwazungumzie tena kinywani mwako kwenye media maana watataka muendelezo wake ili majina yao yatajwetajwe zaidi kwenye media...

Zariiiiiiii kazia hapo hapo, we ndio mama chibu diiiiii chibudeeeeeee
 
Acha upuuzi wewe
Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako.

But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.

Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu.

Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
Acha upuuzi wa mambo ya chama, nilkuona una maana kumbe huna kitu. Hufahamu kuwa nchi hii ni ya kidemocrasia kuwa kila mtu anahaki ya kufanya chochote kile na kumpenda chochote kile ili mradi asivunje sheria. Sasa wewe unataka kila mtu apende unachgotaka wewe, haiwezekani ndio maana lazima tufike mahali tukabali kutokukubalina na heshim matakwa na mapenzi yetu. Wewe mpende Diamond kwa kazi nzuri anayofanya acha ulimbukeni wa kumchukia kwa kuwa anapenda CCM, mbona wewe unapenda CHADEMA na LOWASSA kwani hujui kama Lowassa kabala ya kuingia huko kwenu hata wewe katika nafsi yako ulikuwa ukiamini kuwa na Mwizi na chama chako kwa miaka manane kimekuwa kikipiga propaganda ya kuwa ni fisadi leo hii mmemkumbatia mkiulizwa mnatoa very cheap reason kwamba kama ni fisadi kwa nini msimshitaki, that is childish and you know from your heart that is childish still you keep embracing it.
 
Mbona kakimbiia hela na viwanja, wengine baba zao walishawanunulia, wanahangaika nini. Hajajibu hoja ya msingi, Kitanda kimezaa Haramu?
 
Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako. But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.

Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu. Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
CCM wameiimbia akina King Kiki, Max Bushoke na wahuni kibao wa maana... Na hamjawahi kusema hilo ni tatizo! CCM ni mpango wa Mungu...
 
kweny kampeni za ccm alimsema vibaya sana mzee Lowassa bila kujua yaleo nae ajue kuwa usipende kuwasimanga watu endepo wewe hutaki hali kama hiyo ikutokee,kingine angejifunza kuishi standard life kama anavyojisifu kuwa tiffa ana milioni kumi,haya maswala ya kujiita una hela lakini unaendelea kubishana na wanatandale wenzio wanao funga safari mpaka mlimani kujiunga kifurushi cha chuo ili waje wakudiss,ataendelea kulialia na watu watapata kick yakumsorora!!!Ajifunze kutoka kwa AY unapoitwa superstar unatakiwa ubehave vip hata kama una uswahili uweke kwenye misingi ya gentleman!!!! he must learn the rule of the game
 
CCM wameiimbia akina King Kiki, Max Bushoke na wahuni kibao wa maana... Na hamjawahi kusema hilo ni tatizo! CCM ni mpango wa Mungu...

hao waliimbia ccm huyu alikuwa kama bulembo hakupima mizani ya alicho kifanya,mbona joh makini alisha ikampenia ccm lakini wana ukawa wana mfeel Alikiba pia,wale yamoto sasa watu kumdiss kuhusu ccm there is a reason behind alikuwa zaidi ya mtumbuizaji kwenye kampeni
 
Acha upuuzi wewe

Acha upuuzi wa mambo ya chama, nilkuona una maana kumbe huna kitu. Hufahamu kuwa nchi hii ni ya kidemocrasia kuwa kila mtu anahaki ya kufanya chochote kile na kumpenda chochote kile ili mradi asivunje sheria. Sasa wewe unataka kila mtu apende unachgotaka wewe, haiwezekani ndio maana lazima tufike mahali tukabali kutokukubalina na heshim matakwa na mapenzi yetu. Wewe mpende Diamond kwa kazi nzuri anayofanya acha ulimbukeni wa kumchukia kwa kuwa anapenda CCM, mbona wewe unapenda CHADEMA na LOWASSA kwani hujui kama Lowassa kabala ya kuingia huko kwenu hata wewe katika nafsi yako ulikuwa ukiamini kuwa na Mwizi na chama chako kwa miaka manane kimekuwa kikipiga propaganda ya kuwa ni fisadi leo hii mmemkumbatia mkiulizwa mnatoa very cheap reason kwamba kama ni fisadi kwa nini msimshitaki, that is childish and you know from your heart that is childish still you keep embracing it.
umeandika pumba tu nyumbu wewe
 
Nimebahatika kuiona hiyo video hebu na nyinyi iangalieni muelewe alichokisema kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom