Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

Wanaumia mpaka wanaumwa tena sana! Haiwezekani kila siku chokochoko zao tu utadhani dai hakuwahi kuwa na wanawake wengine huko nyuma.

Afu Mondi bhna, eti anadai amewakuta ni maceleb ila amewaacha pale pale hawana nyumba, magari....teh teh!

Kazi kufatilia na kudiscuss maisha ya watu tu.
 
Kwani wenye lengo baya nae ndio wangekosa cha kusema................. si kama wanavyomsema mtoto ambaye hajui lolote au unataka kusema yule mtoto nae kuna neno kawachokoza ....................................????????
Mpwa unaishi wapi?inawezekana umezaliwa na umekulia ushuwani maana kwetu uswahilini ukilizua basi watu wanatafuta jambo litakalokukera bila kujali huo ubinaadamu uku kwetu tunaweza kukuudhi kwa kusema marehemu baba ako alikua malaya ili ukereke tu,ukimuita fulani mgumba au kumuambia azae wake pia inakera maana atasema ni kazi ya Mungu.
Niamini mimi Diamond na Wema wanajua vizuri ni pipa na mfuniko maisha yao halisi lazima wayaishi(pure wenyeji) hata wawe na mihela kama Bakharesa ila uyo Zari nae wale wale ila yeye ni mwenyeji wa kutoka nje ya nchi kwa kifupi ni kujisumbua kuwatetea hawa(wenyeji) waache wafurahie asili yao na ukiona vita inakolea basi wapumbavu wawili wanakaribia kurudiana.
 
Watanzania wana Reasoning? Walisema Bushoke na Marlaw wamefulia kwa sababu ya CCM, and yet here is Diamond na hawa uliowataja. Hakupimaje mizani?
Vipi Mzee Yusufu na Hadija Kopa ambao ni viongozi kabisa, yaani ni sehemu ya huo uozo. Nao hawakupima?

haujanielewa alafu nikama umendandia kujibu tu..!!!marlaw alikuwa mtumbuizaji na alifanya majukumu yake lakini mondi haku declare kama yeye ni mwanachama kama hadija kopa au nimtumbuizaji wakati inajulkana kama alikuwa kati ya watumbuizaji
 
Dogo kanikosha sana mahojiano ya leo na Mtu wa nguvu, kumbe alisha tumia zaidi ya M30 kutengeneza Msikiti Moro uko,, jambo jema sana aise
 
Hayo kwangu mimi siyo mafanikio hayo ni necessity

Kwahiyo kama ni necessity unavipata tu kama unavyopata hewa ya bure???

Lazima utafute pesaaa ujenge, gari n.k na hapo unakuwa umefanikiwa.. Ndicho alichomaanisha Chibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…