dwoxye
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 679
- 353
Hapo sasa! hawanunui hata soksi ya tiffah lakini wamemkalia kooni sio wake sio wake
Kweli mda mwingine unaweza amini Diamond kuwa na Zari kunawafanya waumie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa! hawanunui hata soksi ya tiffah lakini wamemkalia kooni sio wake sio wake
Kweli mda mwingine unaweza amini Diamond kuwa na Zari kunawafanya waumie!
Viwanja, nyumba, magari kitanzania ndo mafanikio yenyewe otherwise uje na ya kwako ya kizunguKuwa na.magari ni mafaniko?
Mtoto mdogo kuwa maarufu ni usalama?
Tena wamkome kabisa Baba Tiffah wetu.
Wanaumia mpaka wanaumwa tena sana! Haiwezekani kila siku chokochoko zao tu utadhani dai hakuwahi kuwa na wanawake wengine huko nyuma.
Hapo hata mi sijapenda. Ila nimemuelewa sana Chibu ChibudeeMahojiano mazuri ila kakosea sana kulaumi kiraji kitu roho inapenda (POMBE) kama kikwazo cha maendeleo yy afanye yake pombe haina hyo tabiaaa kaongopa
binafc sina tatzo nae pia ila kale kakiraji kakaoneaHapo hata mi sijapenda. Ila nimemuelewa sana Chibu Chibudee
Mpwa unaishi wapi?inawezekana umezaliwa na umekulia ushuwani maana kwetu uswahilini ukilizua basi watu wanatafuta jambo litakalokukera bila kujali huo ubinaadamu uku kwetu tunaweza kukuudhi kwa kusema marehemu baba ako alikua malaya ili ukereke tu,ukimuita fulani mgumba au kumuambia azae wake pia inakera maana atasema ni kazi ya Mungu.Kwani wenye lengo baya nae ndio wangekosa cha kusema................. si kama wanavyomsema mtoto ambaye hajui lolote au unataka kusema yule mtoto nae kuna neno kawachokoza ....................................????????
Mahojiano mazuri ila kakosea sana kulaumi kiraji kitu roho inapenda (POMBE) kama kikwazo cha maendeleo yy afanye yake pombe haina hyo tabiaaa kaongopa
kweli mkuu inabid atuombe radhiHapo kwenye kilaji amekosea sana atuachie kilaji chetu na sisi wanachama wake kilaji tutakasirika tulete balaaaa aiseee
Watanzania wana Reasoning? Walisema Bushoke na Marlaw wamefulia kwa sababu ya CCM, and yet here is Diamond na hawa uliowataja. Hakupimaje mizani?
Vipi Mzee Yusufu na Hadija Kopa ambao ni viongozi kabisa, yaani ni sehemu ya huo uozo. Nao hawakupima?
kweli mkuu inabid atuombe radhi
Hayo kwangu mimi siyo mafanikio hayo ni necessityViwanja, nyumba, magari kitanzania ndo mafanikio yenyewe otherwise uje na ya kwako ya kizungu
Ukitekenywa tekenyekeka mtoto wa kike weweeumeandika pumba tu nyumbu wewe
Hayo kwangu mimi siyo mafanikio hayo ni necessity