Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

Haijalishi Sana ni nini diamond kafanyiwa na baba yake Lakini Mzee hastahili hii Adhabu kabisa
Pia nikumbushe tuu
Wanawake ni viumbe wakatili Sana Sana watu wanasema They are devils




I'm on that good kush and alcohol
Je huo ukatili unauona kwa mama yako , dada zako , shangaz na rafik zako au umeamua kusema tu.
Tuwe na akiba ya maneno waungwa si kila kitu kipo applicable kwa kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama huyo Mzee amekosea kias gan, Diamond anatakiwa amjali huyo Mzee , hata awe anamuwekea hata Milion moja kila mwez siyo mbaya ,
 
Kila mtu anavuna alichopanda..

Huyo baba akomae na mavuno yake..

Diamond naye akomae na kilimo chake cha watoto Africa, atakuja kuvuna huko mbeleni..

Maumivu na furaha walizopitia wanajua wao na Mungu wao..

Everyday is Saturday........................😎
 
Kwasisi ambao tumewahi kuzaa na kuachana na mzazi mwenza tunaelewa kwanini Diamond anachemka hapa, yaani mtoto hupaswi kabisa kumuhukumu Baba kisa aligombana na Mama then wakaachana, huwezi jua nini kilitokea ila wewe bila kuwaza nje ya box kwavile umelelewa na Mama basi unahisi tatizo liko kwa Baba. Huyu Mzee akifa kwa namna yoyote ile Diamond ajiandae kulaumiwa sana, na itamcost. Mimi ni shabiki wa Diamond ila linapokuja suala la kutomjali Babayake huwa simuelewi kabisa. Yaani unaona fahari kutoa msaada wa kodi kwa 'watubaki' 500 huku Babayako akiishi maisha ambayo hayaeleweki? This is too bad!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Mondi ana moyo sana mkuu, yule Shamte anavompakataga yule maza halafu anapost dah na kazidiwa almost 10 years na maza, aisee si mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye uislam mtoto nje ya ndoa Ni mtoto wa mama , plus kutomjali hiyo ndio kabisa , diamond hamjali baba yake sio kwa sababu aliachana na mama yake Bali Ni kwa sababu Mzee Abdul naye huyo Dogo akiwa mtoto
 
Baba sio kutoa mbegu tu Bali Ni matunzo
 
Uko sahihi Sana mkuu
 
Kwenye uislam mtoto nje ya ndoa Ni mtoto wa mama , plus kutomjali hiyo ndio kabisa , diamond hamjali baba yake sio kwa sababu aliachana na mama yake Bali Ni kwa sababu Mzee Abdul naye huyo Dogo akiwa mtoto
Waliachana Diamond akiwa mkubwa anajitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu jukwaani kuna watu wanajifanya wajuzi wa kuhukumu kwa sababu maisha yao halisi hayajulikani. Kingine hakuna mwenye kujua visa na matukio ya familia yao hivyo sidhani kama ni sahihi kuhukumu upande wowote kwa 100% maana mwisho wa siku ni maisha yao binafsi. Unafki sio mzuri.
 
Wanaume tuache kuishi kama wanyama. Tuki-behave kama wanyama kwa watoto wetu na watoto baadae kufanya hivyo hivyo, tusilalamike.
 
Inabidi atulie dawa imuingie, mnavyotelekeza watoto malipo ni hapa hapa, nyau nyie. Mpo wengi tu, hata humu JF.
Kwani ulijipa mimba mpaka ujimilikishe mtoto ukimlea akikua tunamtafuta amjue baba ake. Afu unaoneka unachonga sana ndio maana umebebeshwa mimba na umetekelezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's poetic justice.

Let the man get what he deserves!

You negligently dump your bloody springs, you too get dumped uzeeni. That's it!

You can dodge responsibility, but you can not dodge the consequences.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…