Diamond hongera kwa kumpata Zari lakini nina dukuduku moyoni

Diamond hongera kwa kumpata Zari lakini nina dukuduku moyoni

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Jamani tunajua Dada zetu wabongo kichwani hamna kitu, wanawaza starehe tu na hawapendi maendeleo wala kujituma kama Zari, tunajua zari yupo smart kichwani anajielewa, pengine kutokana na malezi na exposure aliyoipata ya kutembelea nchi mbali mbali, hivyo ni dhahiri upeo wake wa kufikiri ni mkubwa zaidi kuliko Dada zetu hawa bongo movie na bongo flavor.

Na namsifu Zari kwa kweli japokuwa Ana ka CV kabaya ila sijawahi kumsikia akiwa na scandal za wanaume toka kawa na Diamond, achilia mbali mashauzi na dharau ambayo yanaweza kutokana na malezi au hali ya kimaisha, kwa hilo tu nampongeza Zari kwa kuficha aibu ya kaka yetu ambaye alikua akiitwa tasa kila siku(ikiwemo Mimi)

Tukija upande wa pili, ina maana DDiamond wanawake wote wa bongo ni vilaza kiasi hicho mpaka uende ng'ambo?? Sitaki kuamini ujue, mi roho inaniuma ujue?? Mjengo wote ule umeenda kwa waganda? Maana mama Teeh hataki ujinga Yule na hacheki ovyo na watu, hata kuja kwako mashabiki tutashindwa ujue maana mwanamke hana ushoga wala ujirani na mtu khaaa.

Kama Salome tu alisahau hereni wakati mkifanya shooting kaumbuliwa vile hadharani haya sie majirani ya Madale tukija tukasahau viatu si ndo vitatangazwa snapchat nzima??

Waah hapana kwa kweli!
 
Binamu leo yamekusibu yapi au umekula maharage ya wapi?Roho yako leo wamsema au uliomba uende nae zenji ukasuuze macho akakutolea nje????
 
Mpwa warumi mara hii umesahau hao dada zako wa Kibongo walivyokuwa wanachoropowa mimba na kibao kumgeukia Diamond kwamba jamaa mgumba?! Tena na wewe ndo ulikuwa mstari wa mbele kueneza kwamba Diamond mgumba shenzi taipu zako kumbe dada zako walikuwa wanafanya kazi ya kuchoropoa!!! Sasa nani anataka afanye kazi ya kuhudumia tu lakini ukija wakati wa kuwajibika kama mwanamke; hutaki kv wanaogoa kupitwa na starehe za mjini!! Wengine walifikia hadi kusema hawawezi kuzaa nae asije kumwaribia watoto wake... acha waisome namba... wanaume ni wale wale; ukiwazingua, wanakuzingua!! Acha wajifunze toka kwa watu wanaojua kutoa papuchi kwa akili huku wao wakiishia kununuliwa simu za $1000!!
 
Hata kama ningekuwa mm diamond platnumz ningempa tena zaidi ya hiyo, nyumba, wanawake wakibongo wanaogopa kuzaa kwa sababu za kitoto utasikia mara hoo ukinyonyesha maziwa yanaanguka, mara shepu inapotea, mwacheni zari anadeserve, ww humuoni k-lynn sasa hivi anvyokula shushu, madam rita karinga mixer kulemba mwandiko, mwenzake alivyopata chansi kabutua, sasa TRA wamemganda wanataka kodi yao, ww unafikiri kama angekuwa na mzee sasa hivi si angekuwa anateleza, mwenzie k-lynn kazaa watoto wawili, angalia raha za dunia anazokula. TATIZO MADEM WA KIBONGO WANAPENDA KUJIRUSHA, STAREHE ZA KIPUMBAVU mwisho wake wanapata wajanja huko batani wanaishia kuwa single mum, Kuna madem mtaani kibao wakali, walipata chansi nzuri lkn wameshindwa kuzitumia, wamejitia wajanja mwisho wa siku wameangukia pua.
 
diamond sio mtu wa mchezo mchezo


Na wasimfananishe kabisa na takataka nyingine zozote,huyu dogo ni another level kabisa,anaelewa anachofanya na anajua kutumia fursa na kipaji alichojaliwa na Mwenyezi Mungu,kwa kweli ni mfano mzuri sana wa kuigwa
 
Dai mushukur wema kipindi hicho ulikua namasagamba kakupenda hivyo vivyo . Migu vepeee.
 

Attachments

  • 1474701534854.jpg
    1474701534854.jpg
    60.6 KB · Views: 98
Kwa nini mali za watu zikuume.. utakufa masikini tafuta ZA kwako
 
Dai mushukur wema kipindi hicho ulikua namasagamba kakupenda hivyo vivyo . Migu vepeee.
From Zero 2 Hero. Wema kaanza kutoka na mondi tayari mondi anajulikana. Tungemshukuru km angetoka na mondi kipindi kile mondi anauza mitumba sijui mihogo
 
Back
Top Bottom