Inabidi TRA wafanye yao maana serikal inaingia hasara[emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa ana pesa ndefu kwenye haya manunuzi sijui kama TRA wanakata kodi yao
Sasa umeongea nini au buku 7 za Lumumba zishakuchanganya? Ni Ulofa wa kiwango cha PhD kuamini kwamba Diamond ana pesa kama mnavyosifia.Watabisha Mkuu .
Watakuambia hana hizo pesa
Kama kweli ana pesa watakuambia mwambie aweke risiti hadharani.
Nyumbu wa CHADEMA ni sawa na Hawa Team Kiba
Akili ndogooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Hapa ndipo utakapoamini ule utafiti kuhusu ukichaa teh teh teh. Wabongo huwa hatujijui tunataka nini.Teh teh wabongo siwawezi, pesa za kununua views na tuzo anazo ila akinunua nyumba south mnabisha kuwa sio pesa zake na wala sio nyumba yake.
...Aliyeturoga kafa...
Lakini tukubali na tuweke wivu pembeni diamond anajituma na kama ni award anazopata kwa hapa tanzania ndo msanii wa kwanza anastahili hizo tuzo, kama ananunua ila hata kwa macho anastahili hizo tuzo.Kutokana na hili sakata la kununua views uko YouTube na mtuhumiwa mkuu akiwa bwana msafi himself mond bin laden
Nimejaribu kufatilia apa jukwaa la celebrity jf kwa maelezo ya watalam wa ayo mambo wanassma kwa kila views 1000 unatakiwa kulipa kiasi cha us dollar 2 ambayo ni sawa na elfu nne za kibongo so ukijaribu kufanya calculation inakuletea kama million nne za kibongo kwa views 1M
Daah uyu jamaa inaonekana ana mkwanja kinoma kama izo hela zote humtoka kwa kununua view tu hapo hatujaangaliwa upande wa tuzo maana na uko nako nasikia c baba asa cjui kila tuzo inauzwa sh ngapi apo cjajua bado
Ndo hapo sasaTeh teh wabongo siwawezi, pesa za kununua views na tuzo anazo ila akinunua nyumba south mnabisha kuwa sio pesa zake na wala sio nyumba yake.
...Aliyeturoga kafa...
Ahsante mkuu= humgharimu
Punguani wahed.