Kutokana na hili sakata la kununua views uko YouTube na mtuhumiwa mkuu akiwa bwana msafi himself mond bin laden
Nimejaribu kufatilia apa jukwaa la celebrity jf kwa maelezo ya watalam wa ayo mambo wanassma kwa kila views 1000 unatakiwa kulipa kiasi cha us dollar 2 ambayo ni sawa na elfu nne za kibongo so ukijaribu kufanya calculation inakuletea kama million nne za kibongo kwa views 1M
Daah uyu jamaa inaonekana ana mkwanja kinoma kama izo hela zote humtoka kwa kununua view tu hapo hatujaangaliwa upande wa tuzo maana na uko nako nasikia c baba asa cjui kila tuzo inauzwa sh ngapi apo cjajua bado