kwa oni kama hili lako unapata wapi ujasiri wakujiita Mwanaume?Watabisha Mkuu .
Watakuambia hana hizo pesa
Kama kweli ana pesa watakuambia mwambie aweke risiti hadharani.
Nyumbu wa CHADEMA ni sawa na Hawa Team Kiba
Akili ndogooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Unajua nn mkuu hawa timu kiba ni watu ambao naweza kusema uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.....coz wakiambiwa domo kanunua nyumba south wanakataa ila wakiambiwa kanunua tuzo na views wanajaaYaani mmeamua kwa maksudi kabisa kukesha mitandaoni kumtafutia kiki king wenu kupitia jina la Diamond!!!!!mwenzenu anatengeneza pesa nyie mnatengeneza majungu/fitina,mnajitekenye na kucheka wenyewe
Matusi ya nn sasa jaman leten hoja zenye mashikoHiyo ni tafsiri yako, na mara nyingi watu wa aina yako wengi wao ni wale wanaoraruliwa marinda ,.
Tafiti nyingi zimeshatanabaisha kuwa wa Tanzania wengi ni vichaa, hivyo hao wanaoibua na kuzitetea na wale wanaozipinga na kuzikataa wote wapo kwenye kundi moja la vichaa na wewe ukiwa mmoja wao.Unajua nn mkuu hawa timu kiba ni watu ambao naweza kusema uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.....coz wakiambiwa domo kanunua nyumba south wanakataa ila wakiambiwa kanunua tuzo na views wanajaa
Hahahah hana pesa lkn views ananunua dah..... views 1m ni Tsh 4m.... tuseme yy huwa anafanyiwa kwa 2m per 1m. Kajumlishe views za video zake zote youtube na za wasanii wake then njoo uzidishe kwa 2m.... this dude ana hela aisee coz hadi tunzo mnadai ananunua....hadi show ananunua....km vyote hivo ananunua kwann hamtaki kkubali kuwa ana hela nyingi za kumwaga kiasi hiki?????Sasa umeongea nini au buku 7 za Lumumba zishakuchanganya? Ni Ulofa wa kiwango cha PhD kuamini kwamba Diamond ana pesa kama mnavyosifia.
Kweli mkuu, majungu wakati Jamaa anapiga hela, sasa waache wakalie majina ya kibwege Domo etc. Wakati mwenzao anatusua waache wao na vidomo vyao wakati wanashindia makandeBiashara niujanja ndio maana anajulikana duniani saivi... Sio kama wengine unatoa nyimbo unaanza kusikilizia mashabiki... Pumbavu kabisa... Tangaza mziki wako ili ujulikane kimataifa na pia uitangaze nchi yako kwenye mataifa mengine....
Kweli.....Tafiti nyingi zimeshatanabaisha kuwa wa Tanzania wengi ni vichaa, hivyo hao wanaoibua na kuzitetea na wale wanaozipinga na kuzikataa wote wapo kwenye kundi moja la vichaa na wewe ukiwa mmoja wao.
Kutokana na hili sakata la kununua views huko YouTube na mtuhumiwa mkuu akiwa bwana msafi himself mond bin laden
Nimejaribu kufuatilia hapa jukwaa la celebrity jf kwa maelezo ya watalam wa hayo mambo wanassma kwa kila views 1000 unatakiwa kulipa kiasi cha us dollar 2 ambayo ni sawa na elfu nne za kibongo so ukijaribu kufanya calculation inakuletea kama million nne za kibongo kwa views 1M
Daah huyu jamaa inaonekana ana mkwanja kinoma kama hizo hela zote humtoka kwa kununua view tu hapo hatujaangalia upande wa tuzo maana na huko nako nasikia c baba sasa sijui kila tuzo inauzwa sh ngapi hapo sijajua bado
Teh teh wabongo siwawezi, pesa za kununua views na tuzo anazo ila akinunua nyumba south mnabisha kuwa sio pesa zake na wala sio nyumba yake.
...Aliyeturoga kafa...
Tanzania haijulikani ndio awe domo.. Uliza watu wanaoishi nje ya nchiBiashara niujanja ndio maana anajulikana duniani saivi... Sio kama wengine unatoa nyimbo unaanza kusikilizia mashabiki... Pumbavu kabisa... Tangaza mziki wako ili ujulikane kimataifa na pia uitangaze nchi yako kwenye mataifa mengine....