Kutokana na hili sakata la kununua views huko YouTube na mtuhumiwa mkuu akiwa bwana msafi himself mond bin laden
Nimejaribu kufuatilia hapa jukwaa la celebrity jf kwa maelezo ya watalam wa hayo mambo wanassma kwa kila views 1000 unatakiwa kulipa kiasi cha us dollar 2 ambayo ni sawa na elfu nne za kibongo so ukijaribu kufanya calculation inakuletea kama million nne za kibongo kwa views 1M
Daah huyu jamaa inaonekana ana mkwanja kinoma kama hizo hela zote humtoka kwa kununua view tu hapo hatujaangalia upande wa tuzo maana na huko nako nasikia c baba sasa sijui kila tuzo inauzwa sh ngapi hapo sijajua bado