Diamond humgharimu Tsh million nne kwa kila view million moja on youtube

dai anakoelekea atajinunua na yeye mwenyewe!
ANANUNUA TUZO
ANANUNUA VIEWS
ANANUNUA FOLLOWERS
ANANUNUA MPK VIWERES
 
Hujajibu swali bali umetoa doubt zako hiyo

Afu unatakiwa kutofautisha kati ya utajiri wa mtu kwa ujumla na kiasi cha hela anachoingiza kwa mwaka

Inamaana hiyo asilimia uloitaja imekatwa kutokana na hela aliyoiingiza kwa mwaka...
 
Ujinga mzigo wallah..ingekuwa hivyo basi wasanii wa Ulaya wangekuwa ndio wanaongoza kwa views halafu hata hao MTV unadhani wangeangalia Fanbase kama kungekuwa na views Fake?!
 
Mkuu watakuumiza kichwa buree hao , hawana lolote
 
Hujajibu swali bali umetoa doubt zako hiyo

Afu unatakiwa kutofautisha kati ya utajiri wa mtu kwa ujumla na kiasi cha hela anachoingiza kwa mwaka

Inamaana hiyo asilimia uloitaja imekatwa kutokana na hela aliyoiingiza kwa mwaka...

Kwahiyo utajiri wake ulitokana na nini kama sio kipato chake cha kila siku????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…