Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali bali umetoa doubt zako hiyoPengine huwaelewi hao unaowaita WABONGO, ni kwamba wanafanya hesabu zao na kuona ni kweli anapesa, lakini ni kweli anapesa zipatikanazo kwa njia halali na hasa kutokana na kazi yake?
Wale wataalamu wa masuala ya kodi wanasema, mtu alipaye kodi ya Tshs. 35,000,000 kama alivyosema; wanaweza kukwambia kipato chake. Je maisha anayoyaishi leo ni kweli kodi hiyo inaendana na kipato chake. Milioni 35 kwa mwaka kama kodi?
Hiyo 35ml ndo 18% ya mapato yake ya mwaka????? Au huwa wanalipaje kodi yao hao. Na wenyewe wana PAYE? Ni asilimia ngapi?
Ujinga mzigo wallah..ingekuwa hivyo basi wasanii wa Ulaya wangekuwa ndio wanaongoza kwa views halafu hata hao MTV unadhani wangeangalia Fanbase kama kungekuwa na views Fake?!Ukipeleka video zako katika vituo vya kimataifa reference yao huenda youtube kuangalia views ulizonazo hio ni mtv base africa kama hauna fan base kubwa hawapigi video zako...mimi nadhani hio kununua viewers ni moja wapo ya promo mana promo ndo mziki wenyewe hata uwe hujui kuimba ukipigiwa promo watu watakukubali tu...
Mkuu watakuumiza kichwa buree hao , hawana loloteWatabisha...watakuambia view m1 ananunua kwa Tsh.200 [emoji23][emoji23][emoji23]. .. diamond must be rich wallah.... ananunua views you tube, hapo kila wimbo una views above 6m+ ....bado za wasanii wake pia ananunua views .... wanadai tunzo ananunua....wanadai show ananunua pia....naskia wameaza kusema wale mashabiki waliokuwa wanaitikia nyimbo mayotte kawatoa bongo hadi mayotte ili wakanogeshe show. He must be the richest artist in Africa.
Hujajibu swali bali umetoa doubt zako hiyo
Afu unatakiwa kutofautisha kati ya utajiri wa mtu kwa ujumla na kiasi cha hela anachoingiza kwa mwaka
Inamaana hiyo asilimia uloitaja imekatwa kutokana na hela aliyoiingiza kwa mwaka...