Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Sawa ila kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana urithi...huo ndo ukweli na haubadiliki..kama wampa unafanya sadaka tu kama unavyosaidia wengine!

Kwa taarifa yako hatuishi kwa kufuata sheria za kiislam, kwahiyo hii comment yako haina umuhimu .
 
Kwa taarifa yako hatuishi kwa kufuata sheria za kiislam, kwahiyo hii comment yako haina umuhimu .
Kwa taarifa sijakuambia uishi kwa kufata imani yangu!
So ushauri wako peleka kwa wasio na dini!!
 
Sawa ila kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana urithi...huo ndo ukweli na haubadiliki..kama wampa unafanya sadaka tu kama unavyosaidia wengine!
Tena hiyo sadaka/zawadi atoe kabla hajafariki au awaandikie wosia unaokubalika katika sheria za kiislamu.
 
Very brilliant analysis...I bet you are learned brother!
 
Si aandike mirathi na wakili wake hayo maneno ya insta sio mirathi
 
Diamond anakufa nini?maana naona Rayvan kapima ngoma juzi kati...hawa watakuwa wamelila demu lenye misumu
 
Diamond anakufa nini?maana naona Rayvan kapima ngoma juzi kati...hawa watakuwa wamelila demu lenye misumu

Kwani kumla demu mwenye sumu ndio kufa? Miaka yote hii lakini elimu ya UKIMWI ni bado tu, dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…