Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Nusu inayobakiaok poa.
Halafu wanao warithi nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nusu inayobakiaok poa.
Halafu wanao warithi nini?
Flowerist....daaah ! Ulikuwa foreman !?
Sawa ila kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana urithi...huo ndo ukweli na haubadiliki..kama wampa unafanya sadaka tu kama unavyosaidia wengine!
kwenye masandarusiatateba rambi rambi steve nyerere
[emoji1] [emoji1] atafufuka akusanye rambi rambi halafu ndio waende kumzikaUtashangaa hata kwenye msiba wake akawa mwenyekiti yeye tu.
Kwa taarifa sijakuambia uishi kwa kufata imani yangu!Kwa taarifa yako hatuishi kwa kufuata sheria za kiislam, kwahiyo hii comment yako haina umuhimu .
Kwa taarifa sijakuambia uishi kwa kufata imani yangu!
So ushauri wako peleka kwa wasio na dini!!
Tena hiyo sadaka/zawadi atoe kabla hajafariki au awaandikie wosia unaokubalika katika sheria za kiislamu.Sawa ila kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana urithi...huo ndo ukweli na haubadiliki..kama wampa unafanya sadaka tu kama unavyosaidia wengine!
Kweli...so far ni wazazi/ndugu zake na mkewe tuKama ni hivyo basi hata King Kiba hana mrithi bado
Very brilliant analysis...I bet you are learned brother!Hahaha siyo sheria ila kiutaratibu siyo vizuri kutangaza kwamba fulani atarithi nini na nini. Najua zamani babu zetu walikuwa wanafanya hivyo wanatangaza na hakukuwa na utaratibu wa kuandika wosia(will) enzi hizo lakini katika dunia ya sasa siyo sawa kabisa kutangaza hadharani kuwa fulani atarithi nini.
Utaratibu mzuri uliopo siku hizi ni kumtafuta wakili unayemwamini pamoja na watu wazima wawili unaowaamini kwenye ukoo au hata rafiki zako ili washuhudie (a will must be witnessed) na kuandaa wosia na kuuhifadhi kwa siri kabisa. Siku ukifa mawakili wataibuka na wosia. Siku ukifa mawakili na mashuhuda wa wosia wanaibuka na wosia tu kila kitu kinaenda sawa.
Hii tabia anayoifanya Diamond Platnumz ya kutangaza hadharani fulani atarithi nini ni hatari sana siyo kwake tu hata kwa huyo mama yake. Wazungu huwa wana msemo "No one should benefit from his own wrongs" that is a principle lakini anachokifanya Diamond kinaenda tofauti na huu msemo. Huyo mama ana vibeniteni vipi kibenteni akiamua kusuka mpango (God forbid) wa kumuua Diamond kwa sababu anajua mkewe ndiye atakayerithi mali?. Au basi ikitokea Diamond akaoa unadhani mke atakuwa anamtazamaje huyo mama akiwa anajua huyo mama ndiye mrithi wa nusu za mali za mumewe? Hivi unadhani mke wa diamond kama akioa atakuwa na bidii au hata na uchungu na Mali za diamond au ndiyo atazitumia hovyo tu maana anajua nusu ya mali zitaenda kwa mama mkwe mumewe akifariki? Au (God forbid) vipi huyo mke wa diamond mfano akioa akiamua kumfanyizia huyo mama yake?
Watu wengi hawajui lakini ukweli ni kwamba mawakili wa watu wenye pesa wamekuwa wakikumbana sana na hii kadhia. Wake wengi wa wenye pesa wamekuwa waki struggle kutaka kujua waume zao wamemwandika nani kwenye wosia. Zipo scenario mpaka mawakili wanaahidiwa penzi ili tu wataje ni nani ameandikwa kwenye urithi wa mume.
Zifuatazo ni sababu za kwanini wosia unashauriwa uwe wa siri wajuao wasizidi hata watatu.
1. Kuepuka chuki na visasi baina ya walioandikwa kwenye wosia na wasioandikwa. Watu mpaka huuana sababu ya mali. Wengine huwakodia hata majambazi wapore mali za familia ili mradi tu wapate share.
2. Kudumisha ushirikiano na upendo kutoka kwa wanafamilia wote. Kuna watu wakijua hawatarithi mali hawatakuonesha ushirikiano na wala hawatakuwa na uchungu. Mfikirie mtoto anayejua baba yake hajamweka kwenye urithi atalindaje hiyo mali isipotee?
Hata hivyo Diamond ni muislam na kwa mujibu wa Muhammedan law hairuhusiwi kugawa zaidi ya one third ya mali zako kupitia wosia (will). Hii ina maana kwamba kama unaandika wosia andika kwa mali ambazo hazizidi 1/3 na hiyo 2/3 inayobaki watagawana warithi halali kwa mujibu wa dini ya kiislamu. Kwa hiyo si sahihi kumgawia 1/2 ya mali zake mama yake.
Tukija kwa upande wa watoto alionao wote ni illegitimate (Haramu) ambao kwa mujibu wa sheria za kiislamu hawatakiwi kurithi upande wa baba wanatakiwa wakarithi kwa mama zao yaani ujombani. Kwa hiyo hapo kazi ipo Diamond afanye namna kuweka sawa hili swala mapema.
Na uislam una sheria zake!Nchi ya Tanzania ina katiba yake.
Na uislam una sheria zake!
umenikumbusha mbali, hii movie ilikuwaga nomer......So hamisa, wema, wolper, uwoya, zari, hawapati kitu "in fineasi voice"
kama namuona kibenten wa bi sandra....mume wa ndoa yule cha bi sandra ni chake.Diamond naye kiki+ushamba sijui vitamuisha lini
Diamond anakufa nini?maana naona Rayvan kapima ngoma juzi kati...hawa watakuwa wamelila demu lenye misumu