Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
sawq msemaji wa bwnamdogo (mdana........d)psquare wanayo,kama hujui kitu c ukae kimya tu
Ata na wewe umekosea, tena vibaya sana. James Brown hajafa. Long live James Brown, long live the funk!
Utapukutika...!Usikurupuke...
duh hata psquare sidhan ka washanunua yao mkuu unataka kumpa kichwa bwana mdogo
Wakati wabongo tunafikiria kufanya vitu ili kuuza sura wenzetu wanareinvest pesa wanazopata sababu wanajua muziki haudumu,ipo siku utashuka,nimesikia p square wanainvest kwenye mafuta,mleta mada badala ya kumshauri diamond kuwa investor nyumbani hapa akatoa ajira zaidi anamshauri anunue ndege,ambayo itamwingizia gharama lukuki na mwisho wa siku ataiuza,bogus.