Diamond imebaki sasa ufanye ivi!

Diamond imebaki sasa ufanye ivi!

Sidhani kama hata Chameleon aliwahi kufukiria kumiliki ndege, maana yeye ndio Top wa Afrika mashariki.
 
duh hata psquare sidhan ka washanunua yao mkuu unataka kumpa kichwa bwana mdogo

Wakati wabongo tunafikiria kufanya vitu ili kuuza sura wenzetu wanareinvest pesa wanazopata sababu wanajua muziki haudumu,ipo siku utashuka,nimesikia p square wanainvest kwenye mafuta,mleta mada badala ya kumshauri diamond kuwa investor nyumbani hapa akatoa ajira zaidi anamshauri anunue ndege,ambayo itamwingizia gharama lukuki na mwisho wa siku ataiuza,bogus.
 
hahaha kaka umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom