Magazetibyataandika nini?
Dah..Jamani sasa kumuweka public ni kumuumbua au kumshauri!?Huyo mchumbake akijua si tayari doa!?afu ukute su kweli..Ungemtafuta faragha ukamuonya kabla ya kumuanika public..Hivi kesho magazeti ya udaku yote ndio itakuwa habari ya mjini
Kama mdau kwenye sekta ya usanii napenda kutoa wito kwa mwimbaji mashuhuri DIAMOND KWA KUACHANA NA MAPENZI YA IRENE UWOYA;PENGINE ANAHISI NI SIRI ILA BINAFSI KAMA KAKA NINAEMJUA NA KUMJALI MCHUMBA WAKE PENNY AAMBAE AMEKIRI ANAMPENDA NA ATAMWOWA SIDHAN NI WAKATI MUAFAKA KUKIMBIZANA NA IRENE UWOYA;NI MAJUZI NIMEMWONA KINONDONI NA HII N MARA YA PILI NAWAONA SEHEMU NYETI NAHISI WAKATI MUAFAKA KAMA UTAPATA UJUMBE HUU NAOMBA JIHESHIMU NA UMLINDE MWNEZIO SIO WAKATI WA KUGAIANA MARADHI YA MOYO ;HILI N WAZO UKIPENDA CHUKUA UKITAKA LIACHE
Shika hamsini zako, huna kazi?