Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
msaidie kwanza ajirekebishe naondoka na mia kabisa ;mkuu siko kumsema ila ukikaanae anajua anachokifanya na mbaya zaidi n haya mahusianokuyatangaza hadharan alafu unakuja kufanya ufuska tabia chafu aijalishi na wewe kitombi ukiamua kujiheshmu jiheshmu utaheshmla every whr
Kwa nini unafikiri kujiheshimu ni muhimu kwake?
Kama kashaamua kufanya ufuska strategically ili apate free press na watu wawe wanamzungumza kila siku, wewe kinakuwasha nini?
Do you.
Huyu mtu mzima. Kwa nini unafikiri hajiheshimu? Inawezekana anataka kuchumbia wanawake wawili kwa mpigo, aoe wote, na wote wamekubali. Hata dini hazikatazi.
Tatizo lako nini?
Unataka atoke na wewe?
Can the guy live?