Diamond jiheshimu achana na Irene Uwoya atakuua

Status
Not open for further replies.


Kwa nini unafikiri kujiheshimu ni muhimu kwake?

Kama kashaamua kufanya ufuska strategically ili apate free press na watu wawe wanamzungumza kila siku, wewe kinakuwasha nini?

Do you.

Huyu mtu mzima. Kwa nini unafikiri hajiheshimu? Inawezekana anataka kuchumbia wanawake wawili kwa mpigo, aoe wote, na wote wamekubali. Hata dini hazikatazi.

Tatizo lako nini?

Unataka atoke na wewe?

Can the guy live?
 
DAWA ZA USTAADH JUMA WA KIGOGO NI BALAAAAAAA!!!!!!!!!!! Zinaweza kukuchota hata mtu mzima na heshima zako! Huna hili wala lile, dawa ya mvuto ya Daimondo inakukumba!!!!!!!! Hadi uje uzinduke ushaaibika sanaaa magazetini.

Daimond bora urudi kwenye biashara yako ya kutuuzia pamba za ukweeeeeee! Mwanaume huna haya wewe? " Anti ukishavaa uniite nikufunge zipu usijeukaikata inastuck stuck, kumbe kutaka kupapasa migongo ya wadada tu! Afwazali enzi hizo ulikuwa huna Midawa manake ungetuwekeamo kwenye Nguo mbona tungekwishaaaaaaa, tangu na hapo wakati huo mtaa uliumaliza mbona??????????

Mie mteja wako wa Pamba za Ukweeeeee!
'
 

Kaka Kiranga mbona umekua mkali? Au wewe ndie Diamond? Lol
 
Last edited by a moderator:
Nyie wachangiaji mtu akiwaona na mtu kwenye maeneo nyeti, nani anawaandika?
au ngono haitakiwi kuwahusu mastaa?
 
Kaka Kiranga mbona umekua mkali? Au wewe ndie Diamond? Lol

Aaah,

Mie carbon based biped, nini diamond platnum hata kuila huwezi. Natoa pro bono for promo, not for porno.

Mijitu mingine kutwa kucha umbea tu.

Nawauliza Diamond kwa nini mumpangie maisha yake? Yeye kashawapangia yenu?

Huyo "mchumba" wake hajalalamika wanaanza kulalamika watu baki, where is this misplaced puritanism coming from?

Kama mnataka puritanism kuweni puritanic katika kutotaka kuwa judge wengine katika mambo ambayo hamyafahamu.

Na bado, mpaka mtakapoambiwa anafanya manajetwaa na wakeze wawili ndo mtalipuka kabisa!

Sea urchins and sand dollars!
 
mmmhh ila inabidi uwashauri wote. na pia kukaa na mtu sehemu sio kwamba ni mepnzi wake, wewe ulifuata nini hiyo sehemu nyeti?
 
Mi sijaona kama kawa mkali. Ni kaongea ukweli tu.

Can you stand people who are all up in your business?


Sasa gazeti la udaku tuandike nini? Haya mambo ndio yanauza! Unataka tujadili uchumi na siasa? Too boring. Lol
NN hayo ya mind your business unajua wewe. Ona threads zinazo jadili watu, hasa mastaa na wanasiasa, zinavo changiwa na wengi.
La loi de l'offre et la demande. Supply what the market asks for.
 
mi hapo tu kwenye mkolezo,hapo tuuuuu!NDO unanimaliza!
ngoja nikatafute kamusi braza af tuendelee!
 

The market could use a dose of healthy criticism trashing a shallow and vacuous holier-than thou preoccupation with chastity that is thinly disguised as morality.

Let's stop the masquerade already.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…